Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

Mashaka yake yalikuwa kwa Mwigulu kuwa reasoning yake iko chini sana na kama alipata 1st class basi kuna jambo sio la kawaida hapo UDSM. Ila mkuu kuna uzi ulisha dhibitisha kuwa Mwigulu hakuwa na uwezo wa kupata 1st class ila kuna kamchezo kalifanyika. Siendi mbali zaidi ya hapo.

1. Mwigulu,
2. Nchimbi,
3. Nape...
4. Lukuvi..
5. Pinda...
6. nk

Hawa na wengineo ndani ya CCM, tatizo sio waalimu wao! Tatizo ni uwezo wao wenyewe na IQ zao...! Waweza kumuweka panya ndani ya Stoo, nafaka zimejaa chini...ataacha na kuanza kutoboa magunia mapya ili kula nafaka ambazo ni sawa kabisa na anazoacha chini!...hapo tatizo halitakuwa ni stoo yenyewe bali uwezo wa panya kugundua kuwa hakuna jipya ktk magunia mengine analotoboa au kuhangaikia.

Hao jamaa hata wangefundishwa ktk hivyo vyuo viwili mahiri vya juu kabisa vya South Africa au hata vya Harvard ya USA kilicho mahidi kidunia, uwezo wao na IQ zao bado zingebakia poor and analytically non-achievers as they are always!
 
Kwani dr. Slaa akasoma chuo gani mpaka apate moral authority ya kuhoja kiwango cha elimu cha UD?
Does Moral authority always linked to a university? Acha kudanganya watu wewe. Nadhani hata matumizi ya terminology hii huelewi, naomba kama docta slaa yuko hapo akupe shule, manake unapolitamka neno hilo nadhani atakupa shule, ebu tafakari magwiji wa awali akina socrates, plato na akina Aristostle na mpaka context ya sasa wanavyolitumia utajua tu kuwa hukujua unachoandika, ama ulitaka ujulikane unajua kutumia neno la kigeni. Hata Kuhoji mantiki za hoja za akina mwigulu, lukosi na wengine wa aina yako huhitaji kuwa na shahada. Kicheti tu cha falsafa kinatosha. Pia kumbuka elimu yetu imekuwa imejikita katika maksi na kukariri ndio unaonekana unaakili ama kupata first class, kumbuka waliofanya vizuri kama akina Bill Getty hawakuwa na doctorate Je hawawezi kuhoji mambo yanayohusu elimu? Sikiliza kiingereza cha Dr wenu kama kweli ana degreeeee! Je mtu wa standard eight kushangaa kiingereza kibovu cha mtu kama President utapinga? Hicho ndicho kinawakumba wengine, ndio maana msingi wa maendeleo tunaojisifia kwa kujenga viwanja vya ndege , barabara na maghorofa, na mbaya siku hizi hata kununua gari na Tv umeendelea sana.
 
slaa hana uhalali wa kuhoji elimu ya udsm. kasoma chou gani masomo ya sekula (sircular edctn)? yeye kasoma divinity na ni dr wa canon law. kiingereza chenyewe hajui. hii nchi kila alie na mdomo mpana anaupanua tu ilimradi aongee? slaa acha hizo. kalee kichanga
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tumevamiwa, eh! ndicho nili chosema hapo awali nchi imevamiwa. Inaonekana nawe ni wale wa udsm madesa, uwiiiiiiiiiiii. Dr. wa canon law asiyejua kiingereza, je kama alisoma Kifaransa ama Kijerumani, kiitaliano Je analazimika kusoma kiingereza? Maskini mtoto wa watu hujui msingi wa kiingereza lugha malaya iliyojitahidi kubebwa lugha zingine? Anza kuanzia leo, kuwa na kamusi na kuisoma uweze kujiimarisha kabla ya kuandika mtandaoni
 
mbaya zaidi kama baadhi ya wahadhiri wanahusika na hili tatizo
 
slaa hana uhalali wa kuhoji elimu ya udsm. kasoma chou gani masomo ya sekula (sircular edctn)? yeye kasoma divinity na ni dr wa canon law. kiingereza chenyewe hajui. hii nchi kila alie na mdomo mpana anaupanua tu ilimradi aongee? slaa acha hizo. kalee kichanga

Everybody has the right of speech regardless of credibility and the integrity such person has. Use you head dude not your tongue!!!!!!! Halafu....... Nyie vijana wa Lumumba mmerogwa? Hivi unadhani fluency ya kiingereza TU ndo itaifanya nchi hii isonge mbele? Kama ni kuongea tu mbona babako wa kufikia alikwepa debate ya wagombea urais 2010 tena ilikuwa ya kiingereza???
 
Does Moral authority always linked to a university? Acha kudanganya watu wewe. Nadhani hata matumizi ya terminology hii huelewi, naomba kama docta slaa yuko hapo akupe shule, manake unapolitamka neno hilo nadhani atakupa shule, ebu tafakari magwiji wa awali akina socrates, plato na akina Aristostle na mpaka context ya sasa wanavyolitumia utajua tu kuwa hukujua unachoandika, ama ulitaka ujulikane unajua kutumia neno la kigeni. Hata Kuhoji mantiki za hoja za akina mwigulu, lukosi na wengine wa aina yako huhitaji kuwa na shahada. Kicheti tu cha falsafa kinatosha. Pia kumbuka elimu yetu imekuwa imejikita katika maksi na kukariri ndio unaonekana unaakili ama kupata first class, kumbuka waliofanya vizuri kama akina Bill Getty hawakuwa na doctorate Je hawawezi kuhoji mambo yanayohusu elimu? Sikiliza kiingereza cha Dr wenu kama kweli ana degreeeee! Je mtu wa standard eight kushangaa kiingereza kibovu cha mtu kama President utapinga? Hicho ndicho kinawakumba wengine, ndio maana msingi wa maendeleo tunaojisifia kwa kujenga viwanja vya ndege , barabara na maghorofa, na mbaya siku hizi hata kununua gari na Tv umeendelea sana.
We kweli una akili za Bavicha!!!
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tumevamiwa, eh! ndicho nili chosema hapo awali nchi imevamiwa. Inaonekana nawe ni wale wa udsm madesa, uwiiiiiiiiiiii. Dr. wa canon law asiyejua kiingereza, je kama alisoma Kifaransa ama Kijerumani, kiitaliano Je analazimika kusoma kiingereza? Maskini mtoto wa watu hujui msingi wa kiingereza lugha malaya iliyojitahidi kubebwa lugha zingine? Anza kuanzia leo, kuwa na kamusi na kuisoma uweze kujiimarisha kabla ya kuandika mtandaoni
inaelekea umekulia kijiweni. napita
 
Everybody has the right of speech regardless of credibility and the integrity such person has. Use you head dude not your tongue!!!!!!!

having a right to speech doesn't stop listeners from commenting on what has been spoken. slaa spoke no sense en rubbish. it is my right to correct and guide him to the right path. got it?
 
Everybody has the right of speech regardless of credibility and the integrity such person has. Use you head dude not your tongue!!!!!!! Halafu....... Nyie vijana wa Lumumba mmelogwa? Hivi unadhani fluency ya kiingereza TU ndo itaifanya nchi hii isonge mbele? Kama ni kuongea tu mbona babako wa kufikia alikwepa dabate ya wagombea urais 2010 tena ilikuwa ya kiingereza???

kiswahili na kiingereza vyote hujui. nashindwa nikujibu kwa kutumia lugha ipi!? wewe siyo rika langu dogo. napita....
 
Mkuu heshima kwako,

Nafikiri alilolisema Dr. Slaa ni kushuka kwa kiasi kikubwa kwa kiwango cha elimu inayotolewa hapo UDSM. Binafsi nilihitimu Chuoni hapo shahada ya kwanza miaka ya mwanzo ya 80, na nimekuwa nikifuatilia sana watu wanaohitimu miaka hii ya sasa. Kwa kiwango kikubwa sana ninashangazwa kila mara ninaposikia watu wanaojiita wahitimu wa UDSM wa miaka hii ya karibuni uwezo wao wa kuchanganua mambo na kufanya tathmini ya masuala mbalimbali. Huwa ninabaki kufikiri sasa kama hawa ndio wahitimu wa UDSM, hao wengine ambao hawakufika hatua hiyo kimasomo wakoje? Wakati tulipokuwa chuoni kuandika 'seminar paper' na kuwasilisha mada kwenye semina ilikuwa ni kitu cha lazima. Na sheria namba moja ilikuwa ni marufuku kusoma, hoja ulizoziandika kwenye karatasi unamkabidhi mwalimu/mhadhiri/mkufunzi halafu wewe unaiwasilisha mada yako bila karatasi na kujibu maswali kuitetea mada yako, unakubali kupewa upinzani na hoja mbadala 'constructive criticism' na unakwenda kuzifanyia kazi. Hakika kimataifa UDSM ilikuwa tishio. Ndipo waliposoma wakina Prof. Shivji, wakina Wadada Nabudere, walikuwepo wakina Walter Rodney, wakina prof. Chachage na wengine wengi, hakuna haja ya kuwataja wote. UDSM palikuwa kitovu cha taaluma, mahali ambapo hata serikali na chama wakati huo kilikuwa kimoja tu CCM, walijua ya kuwa kila changamoto inayotoka pale ilibidi waichukulie kwa makini kwa kuwa walikuwa wanaweza kuwekwa kitimoto na wataalamu na wasomi kutoka Chu Kikuu kuhusu sera mbalimbali zilizokuwa zinaonekana kuwa na mwelekeo usiokubalika kuhusu mustakabali wa maendeleo ya jamii yetu.

Niambie leo hii UDSM imekuwa mahali pa kuipigia kampeni serikali, siyo kitovu cha taaluma huru chenye kutoa changamoto kwa serikali na kujaribu kuipa mwongozo wa kitaaluma kuhusu mustakabali mzima wa maendeleo ya Tanzania. Unakuta mtu anayejisifia na kujiita 'msomi' wengine wanatamba mpaka na kujipa madaraja ya usomi huo, ukimwambia hebu nieleze jambo dogo tu hawezi. 'Msomi' wa UDSM leo hii ukimuuliza kwa nini nchi yetu ni maskini anasema hadharani 'hajui kwa nini nchi yetu ni maskini'. 'Msomi' ambaye hajui maana ya demokrasia hata anadiriki kusema 'ccm itatawala milele' na 'mkichagua upinzani mtakufa'. 'Msomi' ambaye akiambiwa wasilishe mada kwenye kikao anaanza kusoma kuanzia sentensi ya kwanza mpaka ya mwisho, na pengine hata hiyo mada anayoiwasilisha kaandikiwa yote, ukitaka kujua kama kaiandika mwenyewe mtupie swali rahisi tu kuhusu hilo analoliongea uone jinsi atakavyotoka jasho, ama atakavyokenua meno utadhani yuko kwenye mashindano ya urembo. Hiki ndicho kielelezo cha wasomi tulio nao hivi sasa.

UDSM kuwa chuo cha nne haibadilishi ukweli huu. Fahamu ya kwamba hata ukiwapa vichaa mtihani, kutakuwa na atakayeshika namba moja. Haina maana ya kuwa mtu huyo ana akili, ila katika kundi la hao vichaa angalau kwa huyo mmoja dawa zinaelekea kufanya kazi. Ila haina maana ya kuwa amepona!
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

ha ha ha mzee umenichekesha sana, kweli wewe ulisoma enzi za mwl nakukubali, kwamba hata ukiwapa vichaa lazima upate wakwanza na hapo ndo utajua angalau yeye dawa zimeanza kufanya kazi.
 
Kufananisha ubora wa elimu ya chuo na rank ni ya ngapi huo ushamba ni akili ya mtu asiyefika chuo kabisa kwa sababu hizo rank haiangali ubora wa elimu, hasahasa zinaangalia kufahamika kwa chuo labda kutokana na ukongwe, uwingi wa graduate wanaohitimu hapo, uwing wa program wanazositoa labda na wengine wakijitaidi waenda mbele zaidi kuangali ni kwa jinsi gani hizo program ni current na mahitaji ya sasa lkn si kama unavyosema ubora wa elimu.
 
Philosophy ni mwanzo wa hekima.Wanaomwelewa dk. slaa ni wale wanaofahamu philosofia na kutumia elimu ya kuzaliwa, lakini wanaokaririshwa lumumba kitu cha kuongea na namna ya kufikiria kamwe hawatamuelewa dk.slaa
 
Janjaweed ni jeshi la Albashir kama ilivyo polisi na Greenguard ya rais wetu.Rais anapomuagiza Albashir kuwakamata Janjaweed walioua wanajeshi wetu wakati yeye mwenyewe hajaagiza kukamatwa kwa polisi na greenguard wanaoua rai wake mantiki yake ni nini? Maana yake ni kwamba agizo hilo ni lugha ya kutufariji sisi wafiwa kwamba rais anaweza kuagiza. Lakini Albashir hatatekeleza kwasababu waliofanya unyama huo ni watu wake.
 
slaa hana uhalali wa kuhoji elimu ya udsm. kasoma chou gani masomo ya sekula (sircular edctn)? yeye kasoma divinity na ni dr wa canon law. kiingereza chenyewe hajui. hii nchi kila alie na mdomo mpana anaupanua tu ilimradi aongee? slaa acha hizo. kalee kichanga
Ujue ulipo nikosoa nilijua mtu kumbe ni mule mule tu, hapo ulimaanisha nini vile mkuu?
 
mkuu lazima hauko sawa aidha kichwani au kwenye mwili wako pengine umegonga viroba mkuu kuwa na heshima na udsm kinaheshima zake.

Heshima hushuka pia wakati mwingine hasa kama haijawekewa misingi endelevu na hasa kwa kutoa wahitimu bora si tuu kwa alama(GPA) za kwenye vyeti bali kwa hoja na namna wanavyoisaidia jamii..!!
 
Tatizo wengi hawamuekewagi dr.slaa hata kidogo...mkuu kiwi umeelezea vizuri sana tena kwa utaratibu mzuri mno..hata ni rahisi kwa vijana wa buku 7 lumumba kukuekewa.dr slaa huwa anaongea points mara zote bali maccm yanageuza maneno ya dr.slaa kwa makusudi.hata aliposema nchi haitatawalika alikuaa anawaonya ccm na viongozi mbali.mbali waache kutumia vibaya madaraka waliyopewa na kulitumia jeshi la policcm vibaya maana wakifanya hivyo wananchi watafikia mahali watasema sasa basi na hapo ndio nchi haitatawalika.ila hawakumuelewa dr.slaa wa watu wamebakia kukuza maneno na kusema uongo na kuchafua majina ya watu bila sababu za msingi.ila nashukuru kumbe watu walioenda shule kopindi cha nyuma wana uelewa mpana kuliko akina mwigulu na ndicho alichosema dr.slaa.acheni ujinga ccm
 
Tatizo wengi hawamuelewagi dr.slaa hata kidogo...mkuu kiwi umeelezea vizuri sana tena kwa utaratibu mzuri mno..hata ni rahisi kwa vijana wa buku 7 lumumba project kukuelewa.dr slaa huwa anaongea points mara zote bali maccm yanageuza maneno ya dr.slaa kwa makusudi.hata aliposema nchi haitatawalika alikuaa anawaonya ccm na viongozi mbali.mbali waache kutumia vibaya madaraka waliyopewa na kulitumia jeshi la policcm vibaya maana wakifanya hivyo wananchi watafikia mahali watasema sasa basi na hapo ndio nchi haitatawalika.ila hawakumuelewa dr.slaa wa watu wamebakia kukuza maneno na kusema uongo na kuchafua majina ya watu bila sababu za msingi.ila nashukuru kumbe watu walioenda shule kopindi cha nyuma wana uelewa mpana kuliko akina mwigulu na ndicho alichosema dr.slaa.acheni ujinga ccm
 
Tatizo wengi hawamuelewagi dr.slaa tena kwa makusudi....wapuuzi sana...hata kidogo...mkuu kiwi umeelezea vizuri sana tena kwa utaratibu mzuri mno..hata ni rahisi kwa vijana wa buku 7 lumumba project kukuelewa.dr slaa huwa anaongea points mara zote bali maccm yanageuza maneno ya dr.slaa kwa makusudi.hata aliposema nchi haitatawalika alikuaa anawaonya ccm na viongozi mbali.mbali waache kutumia vibaya madaraka waliyopewa na kulitumia jeshi la policcm vibaya maana wakifanya hivyo wananchi watafikia mahali watasema sasa basi na hapo ndio nchi haitatawalika.ila hawakumuelewa dr.slaa wa watu wamebakia kukuza maneno na kusema uongo na kuchafua majina ya watu bila sababu za msingi.ila nashukuru kumbe watu walioenda shule kopindi cha nyuma wana uelewa mpana kuliko akina mwigulu na ndicho alichosema dr.slaa.acheni ujinga ccm
 
Usione wivu kwa vile chuo chako hakipo hata kwenye list!
usiwe proud na nafasi ya chuo chako mpaka uelewe kwanza hiyo nafasi ya nne wameshika kwenye kitu gani...je ni quality of education? hapana kabisa

hizo ranks sio ranks za quality of education.....ni ranks za popularity ya website...hivyo muhimbili, hiyo nafasi yake au rank yake inatokana na webmaster wao au namna alivyopopularise website yao......mtu mmoja anatuma kitu bila kuelewa anachotuma halafu anaingiza watu vichakani ,wanabaki kujadili wakiwa wamepotezwa vichakani.....check website ya hao waliotoa hizo ranks....utaona methodology yao....4 International Colleges & Universities - About Us
The aim of this website is to provide an approximate popularity ranking of world Universities and Colleges based upon the popularity of their websites. This is intended to help international students and academic staff to understand how popular a specific University/College is in a foreign country.


We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study.We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study
 
Back
Top Bottom