hivi padri slaa degree yake ya kwanza alipata nini na alisomea chuo gani vile???
Mashaka yake yalikuwa kwa
Mwigulu kuwa reasoning yake iko chini sana na kama alipata 1st class
basi kuna jambo sio la kawaida hapo UDSM. Ila mkuu kuna uzi ulisha
dhibitisha kuwa Mwigulu hakuwa na uwezo wa kupata 1st class ila kuna
kamchezo kalifanyika. Siendi mbali zaidi ya hapo.