mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Mkuu,labda wewe si mfatiliaji wa kile kipindi....Adrian na Fatna ni watu waliojipanga. Utaona mwenyewe labda kipindi kisiendeshwe na hao wawilikile kipindi si levo ya dk

get busy with your own life brother !!!
barking all day long
achana na mambo binafsi.maswali kama haya muulize busy body kama napeSwali kwa docta.,...kwanini aliamua kuvunja ndoa yake na kuamua kumchukua mke wa mtu yaani christina na kuishi naye hali ni mke wa mtu.
Nani amekuambia? No research no right to speak. Sema unatamani dr ashuke kisiasaNaona kila masiku yanapozikwenda Dr Slaa anazidi kuporomoka kisiasa ni aibu Dr Slaa kwenda kuhojiwa kwenye kipindi cha Hotmix, kipindi cha bongo movie.
Unaumwa wewe ¡kile kipindi si levo ya dk
Naona kila masiku yanapozikwenda Dr Slaa anazidi kuporomoka kisiasa ni aibu Dr Slaa kwenda kuhojiwa kwenye kipindi cha Hotmix, kipindi cha bongo movie.
Ni maswali mawili ya msingi kwa Dr Slaa.
1. Bavicha karibia wote wameishanunuliwa kwa kuendekeza njaa nani ataisaidia chama kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2012.
2. Kwa nini unakuwa mwepesi wa kukusanya kadi za CCM kwenye mikutano yako huku wewe mwenyewe binafsi kadi yako ya CCM umeificha mchagoni na kuilipia ada kila mwezi.
Naona kila masiku yanapozikwenda Dr Slaa anazidi kuporomoka kisiasa ni aibu Dr Slaa kwenda kuhojiwa kwenye kipindi cha Hotmix, kipindi cha bongo movie.
pia ningependa atuthibitishie kama kweli chadema wakishindwa 2015 wana mpango wa kuingia msituni.
Naona kila masiku yanapozikwenda Dr Slaa anazidi kuporomoka kisiasa ni aibu Dr Slaa kwenda kuhojiwa kwenye kipindi cha Hotmix, kipindi cha bongo movie.
Naona kila masiku yanapozikwenda Dr Slaa anazidi kuporomoka kisiasa ni aibu Dr Slaa kwenda kuhojiwa kwenye kipindi cha Hotmix, kipindi cha bongo movie.
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?

Fafanunua vizur huo muda!
Mkuu utakuwa umechanganya kipindi,Nadhani ni Five Connect. Hot mix ni cha masharobalo dizaini