Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

Dr atuambie angependa vipengele gani vya katiba vibadilike kabla ya uchaguzi mkuu ujao?
Je CHADEMA mmejiandaaje kuongeza idadi ya wabunge kwenye uchaguzi ujao ili kupata bunge lenye changamoto zaidi?
 
si sababu ya msingi hiyo
Adrian na mwenzako nawakubali sana kwa kuendesha kipindi chenu. Anyway, Sikuona mazingira ambayo mliandaa kwa mapokezi ya Dk, ila tu kipindi chenu nacho hakina mipaka. hatujajua mnamlenga nani hasa. Naona mfumo wenu ni kama wa FNL ila wao wana mipaka. Mngekuwa na mipaka ya ni aina gani ya watu mnaowaalika hapo studio ningekuwa na kauli tofauti na hii ya sasa
 
Back
Top Bottom