Mbunge wa ilula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 211
- 18
Siyo karibia BAVICHA wote wamenunuliwa ila baadhi tu,na dr.Slaa kuwa na kadi ya CCM si kosa
Ritz,Wakili Msomi mwenzangu,unatia aibu. Hivi, 2012 kuna uchaguzi?Ni maswali mawili ya msingi kwa Dr Slaa.
1. Bavicha karibia wote wameishanunuliwa kwa kuendekeza njaa nani ataisaidia chama kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2012.
2. Kwa nini unakuwa mwepesi wa kukusanya kadi za CCM kwenye mikutano yako huku wewe mwenyewe binafsi kadi yako ya CCM umeificha mchagoni na kuilipia ada kila mwezi.
Tupatie link mkuu na sisi tumsikilizeuchaguzi nyamagana ulifanyika kihuni. walichukua madiwani ilemela na kuwaleta nyamagana. sisi tukasema labda wanataka ilemela iende kwa chadema. tulipinga utaratibu mahakamani. matata aliondoa kesi so tunafungua kesi za madai. sisi tuna uzoefu wa kesi hizo kupitia arusha. arusha wameshaanza kulipa m1.5 kila mmoja. anasema dr.slaa. mia
Mbona Dkt haonekani kwenye EATV? Kulikoni?
Fafanunua vizur huo muda!
Mwsho DR.Slaa wakati unafanya majumuisho yako jaribu kutuelezea kwa ufupi tuhuma zinazoelekezwa kwako ili kukudhoofisha wewe binafsi na chama chako katika mapambano ya kudai haki, mahasimu wako kisiasa kila kukicha wanatunga propaganda mpya kukuchafua ili jamii ikuone hufai; Binafsi unalizungumziaje hili? tukipata kauli yako itatusaidia sana. (ingawa ulishaliongelea lakini ukisisitiza msimamo wako itakuwa vizuri zaidi)
Tungependa pia kujua kama kuna mpasuko wowote ndani ya chama ukiachia mbali hawa madiwani wawili watatu na vijana wachache wenye kujaa uroho wa madaraka na vipesa pesa vya kupewa ; any Threat na kama ipo je mnachukua hatua gani kuimaliza ili isilete madhara ndani ya chama?
Nawahi home kucheki kipindi...
Tupatie link mkuu na sisi tumsikilize
pamooja mkuu!! miamimi naangalia tv. matangazo mengi so hawampi nafasi ya kumaliza sentesi. wangempa mda wa kutosha but bado anaendelea hadi saa moja. ntawajuza ntakayo fanikiwa kuandika. mia
Hakuna nchi hata moja ya Afrika ambayo haipokei misaada toka nje mkuu. Labda ni misaada ya aina gani, kwa masharti gani, na kwa ajili ya nini.mimi ningependa atuambie wazi wazi kwamba ni ipi itikadi ya chadema? Chadema ikiingia madarakani tanzania itaendelea kupokea misaada toka nje au la?