Huna hoja , ndio maana biblia ilioandikwa Mbeya ni tofauti na ilioandikwa UK na tofauti ilioandikwa Spain. Hapo biblia ilipoanza kuchakachuliwa. Maana kila mmoja kaandika anavyopenda
Mkuu, zamani kabla ya makabila kuingiliana sana, wakristo walikuwa na Bible zao kwa lugha za kabila zao na hivyo kusali kwa kabila lao na MUNGU alikuwa pamoja nao. Leo kutokana na mwingilio huo wanatumia lugha mbili yaani Kingereza na Kiwahili na MUNGU yupo pamoja nao.
Sasa hivi Waisilamu wengi wanaachana na Uisilamu karibia asilimia 30% ya Waisilamu wa Canada US UK na hata Nchi za Kiarabu kama Saudia sema huko wanaogapa kujitangaza kwasababu ya kuuwawa.