Baada ya yote haya, afanye na yeye agombee ubunge.
Nasikia Mkakati huo upo kweli, ila sasa najiuliza sakata hili linahusiana vipi na mambo siasa tena? Hapo ndipo nikifika nabaki nimeduwaa
Baada ya yote haya, afanye na yeye agombee ubunge.
Ulimboka taja wote hao..una ulinzi mkubwa maana ukiguswa hata na jani wanatetemeka wakidhani watahisiwa.ITISHA MEDIA AFTER THAT UINDE UHAMISHONI SWIRTZERLAND.
this is serious, more than i thought!!!! AWATAJEEEEE! WHAT IS HE WAITING FOR KUWALIPUA???? DAMN!
hahahahaha!umenichekesha sana,angewataja pale pale airport, kisha akageuka boarding room, tayari kwenda uhamishoni malawi.... my take
Nina uhakika lawyers wake watamshauri asiongee maana kama swala liko mahakamani akiongea ataonekana kavunja sheria watamkamata afu ndio akina rama watapelekwa segerea kumaliza kazi waliyopewa ningemshauri asiongee kwa sasa
Tunamuamini hatawaangusha wtz,Dr Mwakyembe siyo exampler ya wapigania haki,Chamsingi tumwombee Mungu ampe ujasiri aeleze na kuweka hadharani wahusika wotewa mateso yake.Asichelewe kuwataja hawa jamaa Vifanga vya magamba wanambinu chafu nyingi.Witor Uli wtz wengi wanaimani na wewe waliokulilia airport ni wachache wengine tumelia majumbaniMachozi yetu yanataka haki,nawe ni sawa na mbegu ya haradali(the grain of wheat)Tunakuamini,utatimiza kazi yako,kupona kwako si kw bahati mbaya,Mungu akulinde,Mungu akuhekimishe usiwasaliti Watanzania.Mim naingiwa na mashaka sana na asilimia mia hawezi wataja walio mteka? Hata kama atawataja basi anaweza kutuletea story ya karume kenge tu. Mwakyembe nae tulimsubilia kwa ham na kumwombea kwa mwenyezi mungu ili arejee haraka nchin ili aje kukisanua matokeo yake akatugeuka?Ndio mana napata mashaka nae huyo ulimboka.
Hatujali hayo,atakayo weka yeye ndo historia yake.Naomba mnaosema awataje mnieleweshe1. Akiwataja nani atawachukulia hatua au litapita kama mengine mengi?2. Je hajawahi kutaja hata muhusika mmoja?3. Historia yetu iko vipi kwa watuhumiwa wanaotajwa kila siku?MyTake:Asifanye jambo kuufurahisha uma afanye kile kitakachokuwa na tija kuzingatia sehemu na muda muafaka.
He siku hizi mwananchi ni gazeti dada la mwanahalisi?Mkuu Ritz, nimeamini intelijensia ya Chadema inafanya kazi kama mpiga bao hivi kweli Tanzania kuna mafichoni? Mtu anayetaka kujificha anapokelewa kwa maandanamo? au ndio habari za kuuzia gazeti dada la mwanahalisi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Dah!!Ukweli mwingine bhana!!!Mkuu umemaliza kila kitu...Serikali imeoza, dhaifu na inanuka Hii! Wanahangaika na mzimu wa Dr ulimboka! Kichwa cha Nazi Yuko busy na mananasi
He siku hizi mwananchi ni gazeti dada la mwanahalisi?