Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

this is serious, more than i thought!!!! AWATAJEEEEE! WHAT IS HE WAITING FOR KUWALIPUA???? DAMN!
 
Ulimboka taja wote hao..una ulinzi mkubwa maana ukiguswa hata na jani wanatetemeka wakidhani watahisiwa.ITISHA MEDIA AFTER THAT UINDE UHAMISHONI SWIRTZERLAND.

Nina uhakika lawyers wake watamshauri asiongee maana kama swala liko mahakamani akiongea ataonekana kavunja sheria watamkamata afu ndio akina rama watapelekwa segerea kumaliza kazi waliyopewa ningemshauri asiongee kwa sasa
 
Mim naingiwa na mashaka sana na asilimia mia hawezi wataja walio mteka? Hata kama atawataja basi anaweza kutuletea story ya karume kenge tu.

Mwakyembe nae tulimsubilia kwa ham na kumwombea kwa mwenyezi mungu ili arejee haraka nchin ili aje kukisanua matokeo yake akatugeuka?

Ndio mana napata mashaka nae huyo ulimboka.
 
this is serious, more than i thought!!!! AWATAJEEEEE! WHAT IS HE WAITING FOR KUWALIPUA???? DAMN!

Naomba mnaosema awataje mnieleweshe

1. Akiwataja nani atawachukulia hatua au litapita kama mengine mengi?
2. Je hajawahi kutaja hata muhusika mmoja?
3. Historia yetu iko vipi kwa watuhumiwa wanaotajwa kila siku?

MyTake:
Asifanye jambo kuufurahisha uma afanye kile kitakachokuwa na tija kuzingatia sehemu na muda muafaka.
 
kwa mda huu wacha apumzike huku utaratibu ukiandaliwa wa yeye kusema ...
 
Nina uhakika lawyers wake watamshauri asiongee maana kama swala liko mahakamani akiongea ataonekana kavunja sheria watamkamata afu ndio akina rama watapelekwa segerea kumaliza kazi waliyopewa ningemshauri asiongee kwa sasa

uctufundishe woga wewe..nadhani wewe ndo..just declare da interest ndo uje humu
 
Mim naingiwa na mashaka sana na asilimia mia hawezi wataja walio mteka? Hata kama atawataja basi anaweza kutuletea story ya karume kenge tu. Mwakyembe nae tulimsubilia kwa ham na kumwombea kwa mwenyezi mungu ili arejee haraka nchin ili aje kukisanua matokeo yake akatugeuka?Ndio mana napata mashaka nae huyo ulimboka.
Tunamuamini hatawaangusha wtz,Dr Mwakyembe siyo exampler ya wapigania haki,Chamsingi tumwombee Mungu ampe ujasiri aeleze na kuweka hadharani wahusika wotewa mateso yake.Asichelewe kuwataja hawa jamaa Vifanga vya magamba wanambinu chafu nyingi.Wito:Dr Uli wtz wengi wanaimani na wewe waliokulilia airport ni wachache wengine tumelia majumbaniMachozi yetu yanataka haki,nawe ni sawa na mbegu ya haradali(the grain of wheat)Tunakuamini,utatimiza kazi yako,kupona kwako si kw bahati mbaya,Mungu akulinde,Mungu akuhekimishe usiwasaliti Watanzania.
 
Naomba mnaosema awataje mnieleweshe1. Akiwataja nani atawachukulia hatua au litapita kama mengine mengi?2. Je hajawahi kutaja hata muhusika mmoja?3. Historia yetu iko vipi kwa watuhumiwa wanaotajwa kila siku?MyTake:Asifanye jambo kuufurahisha uma afanye kile kitakachokuwa na tija kuzingatia sehemu na muda muafaka.
Hatujali hayo,atakayo weka yeye ndo historia yake.
 
Dr.Ulimboka jitokeze basi hata utushkru tuliokuchangia kwa njia ya simu na utueleze aliekuteka!
ofcourse tuonyeshe udhaifu wa Jk, tena pitia vizuri gazeti la mwanahalisi...
 
Mkuu Ritz, nimeamini intelijensia ya Chadema inafanya kazi kama mpiga bao hivi kweli Tanzania kuna mafichoni? Mtu anayetaka kujificha anapokelewa kwa maandanamo? au ndio habari za kuuzia gazeti dada la mwanahalisi?

Chama
Gongo la mboto DSM
He siku hizi mwananchi ni gazeti dada la mwanahalisi?
 
Nashindwa hata kuielewa hii sinema. Mtekaji amejificha,mtekwaji amejificha...amebaki mtuhumiwa(Serikali) tu.Anadunda uraiani.Mwisho wa kujificha huku ni nini? Kwanini Igondhu na Ulimboka wanajificha? Tusaidiane kudadavua hapa...
 
thatha pamoja na doctor kurudi salama bado umapiga propaganda! magamba mnakazi... wamuachie huyo kichaa wa kenya.. kwani ukweli sasa utakuwa wazi
 
hili sakata kwa kweli limeivua serikali taulo mbele ya baba mkwe
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom