Masaburi wewe ulisha wahikuingia icu za moi au unalopoka tu hujui kitu sasa vitaje majina vifaa hivyo kama unavijua wewe kilaza kazi yenu kuhalisha tu humu.
Hivi vifaa ukienda mtu wa kawaida wanakuambia avifanyi kazi ............ Inakuwaje kwa doctor ulimnboka vinafanya kazi au ni india
Umeshawahi kulazwa ICU? Kwa taarifa hakuna kifaa kigeni hapo. hiyo ndo ICU, usilete hoja za kujenga fitna!
vipo vifaa hivyo icu. Acha kelele
Achilia mbali kuhusu vifaa....hapo ni ICU, lakini kama wagonjwa wengi wangepewa treatment ya aina hiyo ambayo huyu mwenzetu amepewa basi nikajisemea hakika wagonjwa wengi wangefurahia tiba. Ilinikumbusha ile TV Series iitwayo ER, mwaweza kupata habari zake hapa ER (TV series) - Wikipedia, the free encyclopedia anyway... still can't complain!Hivi vifaa ukienda mtu wa kawaida wanakuambia avifanyi kazi ............ Inakuwaje kwa doctor ulimnboka vinafanya kazi au ni india
Kukurupuka ni tabia ya akili hafifu zenye fikra za masafa mafupi, na ni ugonjwa unaolitafuna taifa la Tanzania. Kusema au kuandika tu bila kujali athari ya unayosema au kuandika ni sawa na kutembea uchi. God help usHivi vifaa ukienda mtu wa kawaida wanakuambia avifanyi kazi ............ Inakuwaje kwa doctor ulimnboka vinafanya kazi au ni india
Yes ipo sana hiyo ila kwa baadhi ya watu. Tena wapo ambao wanafanya kazi kama agent.... ku-deal na wagonjwa kwa kukusanya chapaa! Kikubwa anapewa specialist au dr wa kawaida then kinachobaki kinakuwa cha huyu agent. Huwa tunawaona sana ila tunawakaukia tu.Madaktari siku zote wapo kwenye mgomo. Wana ma agent wao ambao ni manesi kwa ajili ya kuwapokelea vijihela vya rushwa ndogo ndogo, unakuta mwananchi katoka kimanzichana kaja hapo Muhimbili ukiangalia mtu hajiwezi kutoa hata sh 500 lakini dokta ana demand 20,000 au mtu wa X-Ray anasema mashine mbovu wakati akija mwengine na chambi anapitishwa mlango huo huo anapigwa X-Ray anaondoka fasta.
Kuweni na moyo wa ubinadamu hamna aliyewalazimisha kuwa madaktari mliamua wenyewe.
0782250467
vipo vifaa hivyo icu. Acha kelele
Ww akili zako zipo kwenye masaburi.0782250467sasa mnadai vifaa bora vya tiba..hovyo kabisa ninyi madaktari kama hakuna maboresho ya vifaa vya afya hivyo anavyotumia huyo dr wenu mumetoa wapi kama si vifaa vilivyonunuliwa na serikali???? Mungempeleka private basi tujue tumewachoka sasa na madai yenu yasiyokuwa na msingi.. Hivi wodi za wazazi ,watoto zinajengwa kwa siku moja mana sasa ndo mumehamia huko baada ya kutimiziwa madai ya posho zenu. Uboreshaji wa huduma za afya ni suala la mtambuka ninyi dr's .kwa kweli sasa tumewachoka tena sana . Jk bora tubaki bila hawa watu tujue moja kuliko kubaka nao hawa wauaji ..fukuza tu waende kwenye zahanati zao ..na wanatumia muda wa utumishi wa umma na dawa za umma katika zahanati zao .
Waweke ulinzi imara,maana Magamba ni hatari sanaNimesikia kuwa kesho itabidi afanyiwe operation ya taya, ambalo limeharibiwa vibaya ! Nilichopenda ni kuwa ma Dr. wamechachamaa na wanafanya ulinzi wao wenyewe, na hata askari waliotaka kuingia ndani ya chumba leo wakati Dhaifu anakaribia kwenda wametolewa benzi, huyu wamesema watamlinda wenyewe na hawataki hawa "wajambazi" walete sumu zao wala kumkaribia !
Safi sana hii na kaza buti wasomi nyie mpaka kieleweke !! Vasko Da Gama safari hii lazima atolewe nishai na wajaza mabakuli !