Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Mungu azidi kukupa Nguvu Dr. Ulimboka, hakika kwa uwezo wake utapona.
 
Nimesikia kuwa kesho itabidi afanyiwe operation ya taya, ambalo limeharibiwa vibaya ! Nilichopenda ni kuwa ma Dr. wamechachamaa na wanafanya ulinzi wao wenyewe, na hata askari waliotaka kuingia ndani ya chumba leo wakati Dhaifu anakaribia kwenda wametolewa benzi, huyu wamesema watamlinda wenyewe na hawataki hawa "wajambazi" walete sumu zao wala kumkaribia !

Safi sana hii na kaza buti wasomi nyie mpaka kieleweke !! Vasko Da Gama safari hii lazima atolewe nishai na wajaza mabakuli !

Hapo umeniacha hoi
 
Hapana, nasikitika kusema mgonjwa wako wewe mpeleke India mpaka utakapojua kudai haki yako kwa vitendo. Ni wale tu waliojitolea kwaajili ya Tanzania bora ijayo (Wazalendo wa kweli) ndio wanatibiwa kwasasa. Mgomo uko pale pale!!
Haya ndo Uzalendo huo? Mm Kabwela wa Manzese mtanipeleka India? Mna ubaguzi na sio wazaendo kizazi chenu hebu ondokeni hapo Muhimbili sio kwenu ni pa Wazalendo na Serikali
Imeniuma sana mna upendeleo km hivyo vifaa vyenu kwanini msi-Signoff???
Pole Dr Ulli ipo siku utaujua ukweli kwani MUNGU nuu mkubwa
 
Tuanzishe mchango wa pesa kwa ajili ya kusaidia gharama za matibabu yake na gharama za ulinzi juu yake.
 
I have read a lot of comments from my fellow citizens on "the unfortunate incident that occurred to Dr Ulimboka". My fellow citizens kindly be aware that Tanzania as of now is a very Dangerous place. Imagine a life without a doctor to attend you. What does it mean for a pregnant woman who know her Doctor won't be there when her water broke tonight? What does it mean for a driver who drives boda boda? A family traveling from one place to another within the country in their car? You and me who will be commuting tomorrow to work? God help us we have been lead by our very weak minded leaders to this point of danger.
 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Madactari, Dr. Ulimboka anaendelea vizuri. Inasemekana Madactari wameendelea kupokea vitisho kwa njia ya sms. Mgaya (Katibu TUCTA) amesema wapo kwenye mchakato wa kuliwasilisha jambo hilo kwenye

shirika la kazi Duniani (ILO)

, View attachment 57651
Mungu kawaumbua kwa mwankyembe now kwa ulimboka.. Sasa ngoja awe fit aongee yote
 
Dah, ingawaje sipendi mgomo, lakini kwa kweli umeumia sana, sipati picha maumivu uliyoyapata ni makali, nachelea kusema, walidhamiria. Get well soon Dr!
 
Watu wanaopata taaluma zao bila kuzihangaikia hawajui umuhimu wa taaluma zinazopatikana kwa kuhangaika. taaluma za tiba (pamoja jamii yake), uhandisi (pamoja jamii yake), sheria, na uhasibu (pamoja jamii yake) zinahitaji hesima kubwa sana kuliko taaluma ya siasa inayotikana kirahisi rahisi tu!
 
Watu wanaopata taaluma zao bila kuzihangaikia hawajui umuhimu wa taaluma zinazopatikana kwa kuhangaika. taaluma za tiba (pamoja jamii yake), uhandisi (pamoja jamii yake), sheria, na uhasibu (pamoja jamii yake) zinahitaji hesima kubwa sana kuliko taaluma ya siasa inayotikana kirahisi rahisi tu!

Aaah Kichuguu...siasa nayo ni taaluma?
 
Pole sana Kamanda, aluta kontinua!

Aisee kumbe hawa vijana wa Kova hawana huruma aisee, jamaa wamtesa sana aisee. Lilaaniwe jeshi zima la Polisi waendelee kupewa bajeti ndogo na bunge hasa katika makazi na mishahara ili waendelee kukaa ktk nyuma za kuku

Vijana waliotumwa kufanya hiyo kazi ni 'wapambanaji' - walikataa amri ya kumuua basi kwa kujiokoa wakaacha wamemuumiza tu. Wangetaka kumuua wasingeshindwa. Kwa maoni yangu watafutwe na kupewa pongezi kama mashujaa. Wamekataa amri za kidhalimu- just thinking aloud!!!!!!!!!!!!!
 
hilo la Mgaya kuripoti ILO ni la muhim na lifanywe haraka tupate feedback tumeshachoka manyanyaso haya sie watumishi
 
Mwenyenzi MUNGU mwenye mamlaka Mbinguni na Duniani,fanya mwujiza na huyu Ndg yetu anyanyuke na kushuhudia kwa kinywa chake alichotendewa na hw majambazi wa serikali tawala dhaifu.

Nina Imani MUNGU mwenye uweza wa yote atatenda mwujiza.

Get well soon Dr and God bless you.
 
A few days ago, doctors' strike appeared like losing wide public support and was apparently starting to be viewed with disfavour by most people. However, in the past 24 hours, people have shifted their focus from the strike itself to the possibly government crackdown on freedom of speech. While this happens, the fate of millions of hapless patients across the country remains totally in the balance.
 
Back
Top Bottom