Kesho anafanyiwa operation na nani?kwani si bado wamegoma?kama wamerudi kazini na mimi mgonjwa wangu niliyemrudisha nyumbani nimpeleke kesho akafanyiwe operation.
Mkuu tupac umenena yaliyo sahihi.Jina la Ulimboka litabaki kwenye historia ya nchi hii
Wewe mtoa mada naona unachekesha, ICU vifaa vipo kwa watu wote.
Kesho anafanyiwa operation na nani?kwani si bado wamegoma?kama wamerudi kazini na mimi mgonjwa wangu niliyemrudisha nyumbani nimpeleke kesho akafanyiwe operation.
Hivi wewe kiumbe... Wa kulaumiwa ni serikali yako dhaifu au Dr. Ulimboka!! Kama huridhiki si uende mahakamani!!??Wabongo bana, so ndugu zetu wanaondelea kufa kutokana na mgomo wa akina Ulimboka hawana haki ya kuishi ama, mimi simuonei huruma huyu jamaa honestly, mgomo wao unawaumiza ndugu zetu sana, na simuombei kupona.
Mbona maombi yote ni kwa 'mungu' wa chadema tuu?
Kesho anafanyiwa operation na nani?kwani si bado wamegoma?kama wamerudi kazini na mimi mgonjwa wangu niliyemrudisha nyumbani nimpeleke kesho akafanyiwe operation.
Yanayotendeka Syria ni maswlaa ya kisiasa na hatari ya Udikteta ambao CCM wanautumia. Lakini pia wale wanajeshi wa upande wa pili wanapotumia raia hasa wanawake na watoto kama human shield nao wanawajibika kuelewa makosa yao. Hiki ndicho nachopinga mimi, Madaktari wana kila haki ya kuendeleza madai yao, vyama vya Upinzani na wananchi sote tuna madai yetu makubwa tu..lakini ktk kupambana na hali hiyo hatutakiwi kuwaadhibu wananchi wenyewe ili ujumbe wetu ufike.KTK MATENDO HAYA YOTE MAOVU ALOTENDEWA DR ULIMBOKA, JK NA CCM HAWAWEZI KUKWEPA NA KWAKWELI WAMEFANIKIWA.
Je, Kuna tofauti gani ya haya yanayotokea Tz na yale ya Kule SYRIA? Hivi bado kuna wendawazimu wataendelea Kudai Tanzania Kuna AMANI?
Damu ya Daktari huyo isiyo na hatia itaendelea kulia na kuitia LAANA nchi hii, believe it or NOT!!
Mbona maombi yote ni kwa 'mungu' wa chadema tuu?