Dr ulimboka akaongeze nguvu ya kampeni uzini

Dr ulimboka akaongeze nguvu ya kampeni uzini

Madaktari wamenukuu vifungu vya biblia kuhalalisha mgomo wao, bila shaka wana uhusiano na Christian Democratic Movement (CDM)!

Christian Democratic Movement ndio nini sasa!? Mbona unafuka pumba? Acha kuropoka bwana!
 
Japo bado hatijafahamu kwa ukamilifu makubaliano ya Madaktari na Serikali lakini ni matumaini ya wote kwamba Makubaliano hayo yatakuwa yafaida kubwa sana kwa Madaktari wetu ukimjulisha kuwezesha kuondolewa kwa kiongozi Mbovu serikalini, Blandina & co.

Napendekeza kablla hajapoa, DR Ulimboka aende Zanzibar kuongeza nguvu kwenye Kampeni.

Viva Ulimboka Viva. Vivaaaaaa


vipi mkuu kwenye ile thread yako MMU umepata ushauri?

:focus:
sidhan kama kupigania haki lazima ufungamane na chama chochote.
 
haaaaa,kwani amekwambia yeye ni CHADEMA au ni CCM au CUF?
 
Serikali isivyo wapenda Wanyakyusa, ajiangalie asije akalishwa sumu kama Mwandosya na Mwakyembe
Japo bado hatijafahamu kwa ukamilifu makubaliano ya Madaktari na Serikali lakini ni matumaini ya wote kwamba Makubaliano hayo yatakuwa yafaida kubwa sana kwa Madaktari wetu ukimjulisha kuwezesha kuondolewa kwa kiongozi Mbovu serikalini, Blandina & co.

Napendekeza kablla hajapoa, DR Ulimboka aende Zanzibar kuongeza nguvu kwenye Kampeni.

Viva Ulimboka Viva. Vivaaaaaa
 
Japo bado hatijafahamu kwa ukamilifu makubaliano ya Madaktari na Serikali lakini ni matumaini ya wote kwamba Makubaliano hayo yatakuwa yafaida kubwa sana kwa Madaktari wetu ukimjulisha kuwezesha kuondolewa kwa kiongozi Mbovu serikalini, Blandina & co.

Napendekeza kablla hajapoa, DR Ulimboka aende Zanzibar kuongeza nguvu kwenye Kampeni.

Viva Ulimboka Viva. Vivaaaaaa
ni mwana ccm mzuri sana na atatusaidia sana
 
ni mwana ccm mzuri sana na atatusaidia sana
Makupa. Katika wana CCM wote walioisoma hii post na inawezekana kujumlisha wale ambao hawajaisoma hii post wewe unauwezo mkubwa sana wa kufanya siasa kwa viwango vya juu kuwashinda.

Mimi nimetupa hapa post ya kichokozi tu, sijasema DR Ulimboka akaongeze nguvu kwa chama gani, lakini kwa namna ambavyo Nape ametuma watu vilaza kuitetea CCM humu ndani wote wenye mlengo wa KiCCM wamejidisassociate na DR Ulimboka.

Hili ni tatizo kubwa sana kwa chama cha mapinduzi, yaani hata chenyewe kimefikia hatua ya kuamini kwamba mtu yeyote makini na Jasiri katika kupigania haki za wengi hawezi kuwa Mwana CCM wala CUF badala yake mnawasukumiza kuonekana kwamba watu hao ni wanachadema.

Keep it up Makuka, wewe utakuwa mmoja wa watu wa mwisho kabisa mtakaobaki na nguvu za kuitetea the dying CCM.
 
Akaongeze nguvu kwenye kampeni za akina nani?hebu uwe na busara kidogo haya mambo ya madaktari hayana siasa wala upuuzi wa aina yeyote kama huo unaoufikiri.they have genuine claims far away from politics tafadhali nakuomba usimchafue dr uli kwa kumhusisha na watu asiohusika nao
 
No permanent enermy in politics. Si uliona akishake hands na Pinda?
 
yule jamaa kwa kiherehere hajambo. Halafu nilichokiona ni kama vile wanataka kuabudiwa, wakati wamesoma kwa kodi zetu. NAtamani na sisi tuliopo TRA tugome kukusanya kodi tuona kama hata pale magogoni au mjengoni dodoma au hata huko mahospitali na mashuleni patakalika bila mishahara. They real bored me kwa kutaka kuabudiwa.
 
Back
Top Bottom