Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

Nafikiri hapa tunazungumzia maadili (ethics) na siyo brains za huyu mdada, unless kama she is not a card bearing member wa CCM lakini CCM inamsuport-mimi ningemkubali. Kama ni mwanachama CCM alitakiwa ajiuzulu uDAG ndiyo agombee USPIKA. Na asiwe considered tena kwa hiyo nafasi ya DAG or AG. Hizi nafasi "zinatakiwa" kushikwa na zinafaa kushikwa na watu ambao si wana chama wa chama chochote.
naunga mkono hoja ila hili la kujiuzulu kwanza, mtu anachukua tuu likizo, akishapata ndipo anajiuzulu!. Naamini hivyo ndivyo alivyofanya Dr. Mwele!.

Pasco
 
haya mambo yapo kila mahali mfano chadema kuteua viti maalum ilhali bado ni ccm ajabu kabisa.

kwa kauli hii wapinzani wa CCM wasilalamike, maana na wao bado wanateua watu wao kutoka CCM kwa hiyo hata serikali lazima iende huko huko CCM kuchukua watendaji wake?
 
Kitu unazungumza.
Kwani CHADEMA inawateua kushika nyadhifa za kiserikali? Elewa mada. Elimu elimu elimu
 
Tanzania tumefika hapa kutokana na viongozi wajinga wajinga!, nafasi ya uspika imetangazwa, nimeona kuna best brains wameonyesha interest, badala ya ku support na ku encourage ndio kwanza mna discourage!, mnataka tuendelee kuongozwa na wajinga wajinga hadi lini?!.

Pasco

ndugu yangu, usijifanye mwanasheria mjinga kwasababu ya mihemuko, kanuni zilimtaka aachie nafasi yaks ndiyo aende kugombea, am sure agechukua kupitia Chama shindani, angekuwa ameishafutwa kazi, kama Mwanasheria unatakiwa kuangalia kanuni na taratibu na si kuhemuka
 
Unaweza shangaa Dr. Tulia akawa spika.
 
Unaweza shangaa Dr. Tulia akawa spika.
Sio unaweza kushangaa, bali mpaka sasa Dr. Tulia ndio the next speaker!, hiki ni kichwa!, CCM ya Magufuli inahitaji kutumia the brain powers!, zile zama za siasa za blah blah, na kuongozwa ni viongozi wajinga wajinga zimepita!, sasa ni kazi tuu!.

Pasco
 
ndugu yangu, usijifanye mwanasheria mjinga kwasababu ya mihemuko, kanuni zilimtaka aachie nafasi yaks ndiyo aende kugombea, am sure agechukua kupitia Chama shindani, angekuwa ameishafutwa kazi, kama Mwanasheria unatakiwa kuangalia kanuni na taratibu na si kuhemuka
Utatusaidia sana ukiiweka hapa hiyo kanuni!. Mbona alipogombea urais Dr. Mwele, hii nongwa haikuwepo?!. Nijuavyo mimi, hitaji la kujiuzuli ni iwapo atachaguliwa!.

Nikiwa mlimani, Dr. Sengodo Mvungi (RIP) alikuwa ni kiongozi pale faculty ni ni kiongozi wa NCCR!, alipogombea urais kupitia NCCR alijiuzulu baada ya kupitishwa!. Prof. Mwesiga Beregu alikuwa kiongozi chuo na ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema miaka nenda miaka rudi!. Prof. Kitila Mkumbo ni kiongozi wa UDASA na amekuwa kiongozi Chadema na sasa ACT mbona hakuna nongwa?!.

Nasema kwa msisitizo, namfahamu Dr. Tulia ni kichwa mbaya!, kama CCM ni kweli imebadilika na kuachana na viongozi magoigoi!, then Dr. Tulia ndio atapitishwa!.

Pasco najua Dr. Tulia ni next speaker na si coincidence bali ndivyo alivyoagizwa.
 
Last edited by a moderator:
Utatusaidia sana ukiiweka hapa hiyo kanuni!. Mbona alipogombea urais Dr. Mwele, hii nongwa haikuwepo?!. Nijuavyo mimi, hitaji la kujiuzuli ni iwapo atachaguliwa!.

Nikiwa mlimani, Dr. Sengodo Mvungi (RIP) alikuwa ni kiongozi pale faculty ni ni kiongozi wa NCCR!, alipogombea urais kupitia NCCR alijiuzulu baada ya kupitishwa!. Prof. Mwesiga Beregu alikuwa kiongozi chuo na ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema miaka nenda miaka rudi!. Prof. Kitila Mkumbo ni kiongozi wa UDASA na amekuwa kiongozi Chadema na sasa ACT mbona hakuna nongwa?!.

Nasema kwa msisitizo, namfahamu Dr. Tulia ni kichwa mbaya!, kama CCM ni kweli imebadilika na kuachana na viongozi magoigoi!, then Dr. Tulia ndio atapitishwa!.

Pasco

Ya Urais na ubungeyana circular yake maalum
 
Tupatupa naomba utusaidie kidogo. Huyu mtu kaomba nafasi ya kugombea Uspika kwa kupitia CCM, Hapo inamaanisha yeye ni kada wa chama. Madaraka aliyonayo hayamruhusu kujidhihirisha kuwa ni kada wa chama. Sasa jee akiukosa huo Uspika, jambo ambalo ni dhahiri atarudi tena kwenye ofisi yake ya Naibu Mwanasheria mkuu wa serikali?
Jee iwapo atarudi na jambo hilo likapotezewa kama ilivyo kawaida ya serikali hii ya ccm, sasa kesho na kesho kutwa akijitokeza kiongozi mwingine wa serikali eitha Katibu mkuu, Kamishna au mwenye wadhifa wowote akagombea nafasi yeyote ya juu inayodhaminiwa kichama kwa kupitia Chadema au CUF na akashindwa ataruhusiwa kurudi kazini kwake?

Kwa chama kingine mbona kesho yake asubuhi anakutana na barua ya kuvuliwa madaraka! Barua itaandikwa hata usiku wa manane.
 
Najiuliza tuu kama bado ni mtumishi wa umma au kaacha kazi kabla ya kuomba nafasi ya kuwa spika wa
bunge la TANZANIA maana hawezi kujiusisha na siasa afu bado akawa ni mtumishi wa umma tena kitengo njeti cha sheria
 
Utaratibu ni kwamba ukienda kugombea cheo cha kisiasa unaomba likizo ya bila malipo.... Ukishindwa basi unarudi kazini.....
 
Dr.Tulia amewadhihirishia watanzania rasmi sasa kuwa yeye ni gamba.
 
Maswali mengine bwana! Kwanini haujiulizi ni nani aliyemtuma hadi akapata PhD badala ya kuishia tu darasa la saba?
 
Back
Top Bottom