Watu kama wewe ndio munafanya JF iheshimikeAtakuwa anapendekeza sheria kandamizi dhidi ya upinzani,pia tutarajie wapinzani kubambikiwa kesi za jinai,tumeshaanza kuona tayari, inawezekana kameanza kutafunwa
Watu kama wewe ndio munafanya JF iheshimikeAtakuwa anapendekeza sheria kandamizi dhidi ya upinzani,pia tutarajie wapinzani kubambikiwa kesi za jinai,tumeshaanza kuona tayari, inawezekana kameanza kutafunwa
Mkuu unavinasaba vya kinabii,Hii sio bureWapinzani watabambikiwa kesi mpaka wakome,pia atapendekeza miswada inayokandamiza kambi ya upinzani ili ailinde ccm
Hebu thibitisha mkuu. Waonekana wewe ni mgeni wa mabandiko yanguSasa hivi huishi kumsifia
Naweza kuamini kuwa sasa umeshaanza kunogewa na vyeo. Ulianza kuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Ukafuata kuwa kiongozi wa Kamati ya Bunge Maalum la Katiba. Kama hiyo haitoshi, ukateuliwa kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Sasa unataka Uspika wa Bunge.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Mwanzo uligoma, akaambulia u Naibu Spika, sasa hautagombapale ambapo Uspika utagoma kupatikana. Ujiuzulu haraka!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Hili ni swali niliwahi kuuliza humu!.Tanzania tumefika hapa kutokana na viongozi wajinga wajinga!, nafasi ya uspika imetangazwa, nimeona kuna best brains wameonyesha interest, badala ya ku support na ku encourage ndio kwanza mna discourage!, mnataka tuendelee kuongozwa na wajinga wajinga hadi lini?!.
Pasco
Hapo tutakuwa tumebakiza Jaji Mkuu ili "agano" litimie.Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
Mkuu @Upiveristy, una hoja ya msingi sana, tena kwa mujibu wa katiba hii, nafasi ya Spika inapokuwa wazi, Naibu Spika hawezi kugombea uspika wakati ni Naibu Spika. Kama Dr. Tulia anautaka uspika, inambidi kwanza ajiuzulu u Naibu Spika, ndipo agombee uspika!.mkuu Pasco,unaweza kuwa na hoja ila si kwa muktadha huu.
Swali rahisi ni.,je Dr Tulia pamoja na huo 'uwezo' wake, kama mtumishi wa umma,tena mwenye cheo kikubwa.,kugombea nafasi ya kisiasa hajavunja sheria/kanuni/taratibu?