Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

Hapa kuna hoja. Imekuwaje akaqa na kadi ya chama iliyo hai wakati huo huo akiwa katika utumishi? Ukiacha hilo, huyu bibie ana sifa stahiki kabisa za kuwa spika.
 
kati ya watu ninoawana makada wa ccm walio wajibga ni huyu dr akson, kuna ka mama kana vinywere vya hovyo semakafu, dr bana misuli na michael hawa ni wasomi wasiojitambua. ukiona mambo yao unakata tamaa ata ya kusoma. mtu anasoma hajitambui ni full kujipendekeza je elimu yake imemsaidia?

Njaa haina baunsa mjomba.
 
Ndo wasomi/viongozi wetu hao.Tanzania si nchi ya kutegemea kwamba mtu fulani kwa sababu ana wadhifa fulani hatafanya kitu fulani kwa sababu ni ujinga kufanya hiki kitu.Tanzania watu wachache wanaweza kufanya vitu vizuri,lakini watu wengi wanaweza kufanya ujinga.

Haya kuhusu mwache ajaribu
 
Huyo dr, tula kadi ya ccm kupata wapi kwa wakati huu anaotaka kugombea uspika? Mtu ni mtumishi wa umma kadi ya katoa wapi? Tafakari!
 
Ni busara na hekima tuu ya kuzaliwa, na wala hakuna kifungu cha nnamna hiyo shame on HER, sijui alikuwa wapi wakati wenzie wanaomba viti special?
 
Hapa kuna hoja. Imekuwaje akaqa na kadi ya chama iliyo hai wakati huo huo akiwa katika utumishi? Ukiacha hilo, huyu bibie ana sifa stahiki kabisa za kuwa spika.

Atakuwa na sifa ya kuwa SPIKA pale tu atakapojiuzulu uDAG kitu ambacho sidhani kama amefanya. Na akisha jiuzulu asiangalie nyuma (uDAG au uAG). Lakini kwa aina ya utawala bora tulionao TZ haya yote yamewezekana.
 
Chezeya nyumba mpya ya spika iliyopo Dodoma kila mtu anataka makazi ya kudumu.
 
@VUTA-NKUVUTE


  1. Kugombea nafasi yoyote ya uongozi ni moja ya haki za kiraia ambayo kila Mtanzania ana haki hiyo na yuko huru kugombea nafasi yoyote, hivyo Dr. Tulia Akson hajavunja sheria, taratibu wala kanuni yoyote!.
  2. Viongozi wakuu wa vyombo vya dola, wote ni makada wa CCM!, nikimaanisha hata CDF, IGP, Mkurugenzi wa TISS, Jaji Mkuu, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru etc!. Tumemshuhudia Mboma akigombea ubunge!, Mahita akigombea ubunge!, Adadi sasa ni mbunge!, Apson akiongoza kamati ya EL!, etc, hivyo kama kosa ni kujionyesha, then Dr. Tulia ni too genuine kujificha nyuma ya cheo!.
  3. Nimetokea kumfahamu huyu dada, kwanza ni kichwa mbaya!. Nilijoin UDSM wakati yeye amemaliza LL.M na kuwa lecture, hivyo mwaka wangu wa kwanza, somo langu la kwanza ni Law of Contract, mwalimu wangu wa kwanza alikuwa huyu Tulia!. Kwa jinsi alivyo ki miss miss, enzi hizo akiwa mdogo, alionekana kama mtoto wa form Six anafundisha chuo kikuu, na sisi watu watu wa kanda ya Ziwa tunaudhaifu fulani, hivyo kila akifundisha watu wanaconcentrate na masomo, akina sisi mawazo yanatutuma kwenye mengine!, kufunga na kufungua somo lake nika supp, nikarudia nikashindwa ku clear!, hivyo nika carry over, mwalimu ndio huyo huyo!, nikashindwa ku clear nikazungusha!, yaani nikacheza DISCO!.
  4. Nadhani kwao wote ni vichwa!. Last born wao, ambaye pia ni binti, alitoka na 7 points O level, akatoka na 3 points A level na kuongoza kitaifa!.
  5. Kwa perfomance yake niliyoiona wakati wa BMK, kama CCM inataka tupate the best speaker, then watamteua Dr. Tulia, kitakachomponza labda ni ile flipy floppy ya Ana Makinda!.
  6. Tufike mahali moja ya sifa za nafasi ya uspika iwe kusomea sheria kiwango cha LL.M!.
Pasco

kwa akili hizi,ndio mana ulidisco hata Law of Contract!..halafu bila aibu unakuja na stupid excuses eti watu wa kanda ya Ziwa tuna udhaifu,wakati anafundisha eti akili inawaza mengine....shame!
.hoja ya msingi inabaki kwenye hitimisho la hoja yako ya kwanza:.,je,hajavunja sheria/kanuni/taratibu?
'hoja' nyingine zote ni viroja tu!
 
kwa akili hizi,ndio mana ulidisco hata Law of Contract!..halafu bila aibu unakuja na stupid excuses eti watu wa kanda ya Ziwa tuna udhaifu,wakati anafundisha eti akili inawaza mengine....shame!
.hoja ya msingi inabaki kwenye hitimisho la hoja yako ya kwanza:.,je,hajavunja sheria/kanuni/taratibu?
'hoja' nyingine zote ni viroja tu!

Like like like like like like ni hatari kuwa Na wanasheria wajinga Kama huyo anaenda Na emotions Na mapenzi kwa mtu badala ya kuangalia kanuni Za Utumishi wa umma zinasema nini kwa ngazi yake, Tanzania tunasafari ndefu sana
 
kwa akili hizi,ndio mana ulidisco hata Law of Contract!..
Ni kweli nili disco UDSM kwa sababu ya law of contract tuu!, nadhani kabla hujanishutumu ulipaswa kunipongeza kwa kuwa very open!, kufuatia ku disco ni jambo la aibu, watu wanaodisco, huwa hawathubutu kusema!. Ila pia kati ya masomo simple kabisa ya sheria ni law of contract!, hivyo whoever atakaye disco chuo kwa sababu ya somo moja tuu la law of contract, then atakuwa amedisco kwa sababu nyingine zaidi ya ujinga, regardless hiyo sababu ni ya kijinga vipi!.
halafu bila aibu unakuja na stupid excuses eti watu wa kanda ya Ziwa tuna udhaifu
This is a fact kuwa Kanda ya Ziwa wana udhaifu katika masuala fulani!, kitendo tuu cha kuukubali udhaifu fulani, hiyo ni strength!.
wakati anafundisha eti akili inawaza mengine....shame!
huu pia ni udhaifu, we all all human, hivyo udhaifu kama huu wa mwalimu kufundisha darasani huku wanafunzi wengine wanawaza mengine au wako mbali, ni kawaida sana!, na wala sio shame!, ila kama ni shame labda iwe ni ya mimi kujikubali nilikuwa dhaifu!.
.
hoja ya msingi inabaki kwenye hitimisho la hoja yako ya kwanza:.,je,hajavunja sheria/kanuni/taratibu?
thanks for this!.
'
hoja' nyingine zote ni viroja tu!
sasa hizo unazoita viroja ndipo ilipolalia hoja yangu ya msingi kabisa kumhusu huyu Dr. Tulia Akson!. She is a best brain!. Tanzania tuko hapa tulipo kwa sababu ya ignorance ya watawala wetu!, we don't tap the best brains we have na ndia maana tuko hapa tulipo!. Siku zote CCM inashinda kwa sababu imewekeza kwenye ujinga, na ina take advantage ya ignorance ya Watanzania kuendelea kutawala!. Nikashauri kama CCM inataka mabadiliko ya kweli, Dr. Tulia as a no nonsense lady, can make the best speaker Tanzania has ever had!.

Hili la Ignorance ya Watanzania nimelizungumza sana tuu na limetokea tena!.
[h=3]Watanzania ni ignorants au tumelogwa?
[/h][h=3]Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana
[/h][h=3]Watanzania ni Wajinga, Ignorants!, Mwaka 2010 Tulifanya Ujin
[/h][h=3]Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed d
[/h] [h=3]Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufis[/h][h=3]Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance a
[/h][h=3]Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.[/h][h=3]Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains
[/h]Pia kuhusu nafasi ya spika nimeisha izungumzia sana humu
[h=3]Naibu Spika Anna Makinda ni Dikteta! -[/h][h=3]Spika Makinda Press Conference Live!.
[/h][h=3]Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!,
[/h][h=3]Wito: Wabunge Badilini Kanuni Kuondoa Udikteta wa Spika/
[/h][h=3]Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live! -
[/h][h=3]Vurugu za Jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!-
[/h]Pasco
 
we hujui kama mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa mwanasiasa au mwanachama wa chama cha siasa?

Tatizo Tanzania wajinga ni wengi, it is unfortunate that wachache are manipulating them because of that
 
Huu ujinga unafanyika tanzania tuu .kwa nini wameamua kufanya huu ujinga .Naibu AG anagombea nafasi ya uspika?
 
Manyerere Jackton nyie ndo wasomi wa ccm unashangaa nini ?mtumishi wa umma kuwa kadi ya ccm .Mbona hukushangaa jaji Augustino kugombea uraisi?mambo mengine yanayofanyika tanzania aibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom