Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Kwani mkuu unafikiri watumishi wa umma hawana vyama? Akikosa nafasi ya kisiasa anarudi kwenye utendaji ambacho hakiruhusiwi ni kuonesha maslahi ya Chama kwenye utendaji basi.
Pata mantiki ya swali langu, jee huyo angegombea kwa tiketi ya NCCR kutafuta Uspika na akakosa angeruhusiwa kurudi kwenye nafasi yake au hilo linaruhusiwa kwa CCM pekee?