Dr Tulia Ackson Miaka yote aikuwa wapi?

Wewe mbona hugombei ? Kazi ya kuwachambulia wenzio huyu hafai , huyu hivi , ingia kwenye kinyang'anyiro , tukuone ukidume wako.
Endelea kutega sikio hapa hapa jf
 

Nyie wanyakyusa hizo siasa zenu za maji taka ndizo zinazowafanya muendelee kushika mkia. Badala ya kufurahia KWAMBA mmempata mtu influential, pia mwenye networks na exposure, mnaongea MAMBO yasiyo eleweka. Jifunzeni KUTUMIA talents mbalimbali kujiletea maendeleo YENU. Jifunze NAMNA ya kutumia elites, business people, influential people to form a composite team for betterment of area. Siasa za majitaka hazita wafikisha popote.
 
Lowassa ilikuwa anafanya hivyo baada ya kupitishwa na chadema,au mwaka gani? Kingine,yeye lowassa alikuwa ni mbunge bhana,kwahyo huenda aliyafanya hayo kutumia nafasi hiyo,ila sidhani kama amemfikia dokta.

Hukumbuki alivyokuwa anawasonga makundi mbalimbali yaje kwake eti yakimshauri agombee URAIS. Kila siku ALIKUWA akipokea maandamano. Mara wanafunzi udom waendesha bodaboda nk
 
Sijawahi kuona mbunge mwanamke Mbeya, hasa unyakyusani. Ni vigumu kuchaguliwa na itakuwa record ya ajabu sana.

Unkikulu ni lyabhi lyake itughale nkyeni mbanyambala. Anguswugha fijo.
 
Nskubaliana ksbisa na msoni haya.
Wanyakyusa TUAMKE.
Panya anayejamata panya ndio wa kumtuza.
Huyo Mwambigija na hata Sauli ni magharasha.
 
Ndugu wana TZ, ujinga huu wakipinga kila kitu kwa dhana umezidi sana hivi sasa, hata inafikia kuleta uadui pasipo stahili.
Wana kyela ni watu wasomi na wanajitambua, ukifika wakati wa uchaguzi ni lazima muangalie maslahi ya jimbo lenu kwanza alafu mtu na chama chake baadaye. Nyinyi wajibu wenu ni kumchagua atakaye mifaa kutimiza shida ya jimbo lenu.

Kwa sasa atakaye leta pesa za ngoma ama misaada yoyote wajibu wenu ni kuupokea kwa maslahi ya wengi.
kwani hiyo misaada anayoleta ina mikataba ya kumchagua? Au kalazimishwa kuleta, sii hiari yake, nanyi ni hiara yenu kumchagua anayemifaa.

Hizi siasa chafu zisizo na tija zinarudisha maendeleo. Tena ningemishauri mungemueleza shida zenu atumie hii fursa aliyokuwa nayo ili ilete maendeleo jimboni, hizo pesa au miradi atakayoleta ni baadhi ya kodi zenu, hamna haja ya kumshukuru ama kumpa kura akisimama.
 
Sijawahi kuona mbunge mwanamke Mbeya, hasa unyakyusani. Ni vigumu kuchaguliwa na itakuwa record ya ajabu sana.

Unkikulu ni lyabhi lyake itughale nkyeni mbanyambala. Anguswugha fijo.
Mambo yamepitwa na wakati kabisa hayo, fungueni macho muwe na maendeleo, mbona nchi za wenzetu mfano uingereza wanaongozwa na malkia na wanamaendeleo na tunaomba hata misaada kwao
 
Huyu bidada hata akipata kura mbili za ubunge atatangazwa kuwa ndiye mshindi, yetu macho na masikio....
 
Nskubaliana ksbisa na msoni haya.
Wanyakyusa TUAMKE.
Panya anayejamata panya ndio wa kumtuza.
Huyo Mwambigija na hata Sauli ni magharasha.

Wenzenu siku hizi hawahitaji chama. Wanataka maendeleo. Mkimpata influential figures, capitalise them. Forget hayo mavyama won't bring you anywhere. You need a team of brilliant guys led by influential people to move.
 
Wenzenu siku hizi hawahitaji chama. Wanataka maendeleo. Mkimpata influential figures, capitalise them. Forget hayo mavyama won't bring you anywhere. You need a team of brilliant guys led by influential people to move.
Ni maendeleo gani anaweza kukuletea jimboni kwako huyo influential figure kama uko jimboni ambako kuna Shule, Hospital, Maji, Umeme na Barabara kama Vunjo?
 
Huyu Dr. Tulia ni msichana mdogo na hakuwapo mda mrefu kwenye uongozi, pili hajawahi kuwa na uwezo wa kufadhili kitu chochote. Amemaliza shule siyo mda mrefu hivyo ni kama chipukizi. Hivyo uliyo yasema umamsingizia. Ila anauwezo mkubwa wauongozi, Tanzania nzima tuone tumependelewa kuwa na mwana mama kama huyu! Sasa ole wao wanao mnyanyapaa! Huyo ni lulu kubwa. Maana kama nyinyi hamumtaki Taifa litamchukuwa achaguliwe na raisi. Mnaomkataa mtakuwa wenye hasara. Hivyo nendeni mkambembeleze ni turufu huyu mwana mama.
 
Kwa ilivyofikia kwa sasa Hakuna namna utamtenganisha Dr Tulia na Ubunge wa Tukuyu mjini ili aje kua Spika wa Bunge la12 na hakuna Mtu wa kutoshana naye kwa sasa labda aanguke toka sayari nyingine.
 
Ndio mjipange sasa sio maneno tu humu
 
Tutalinabhanyakyusya bha hovyo kangi uli ughwe. Nyoko kweli ughwe...... utwe tukubhopa ni tulia / Hakuna munyakyusa wa hvyo kama wewe. Sisi tunaenda na Tulia
 
MAELEZO YAAAKO YOOOTE NI KUJIHAMI KISIASA KWA MWAMBIGHIJA, TULIA ANAFAAA SANA HATA ASIPOFANYA HIYO HISANI YA KUDHAMINI NGOMA ZA ASILI, MTU MWENYE background YA KUJALI ASILIA YAKE ANANAFASI KUBWA YA KUJUA MATATIZO YA WATU KULIKO HUYO UMTAJAYE WEW...... MM KWETU MASUKULU KWA MAREHEM Jackson Mwakibwili,,,,,,, namuelewa sana Tulia Akson kuliko udhanivyo na atachukua tu. Imewashnda chadema kafungueni biashara
 
Ni maendeleo gani anaweza kukuletea jimboni kwako huyo influential figure kama uko jimboni ambako kuna Shule, Hospital, Maji, Umeme na Barabara kama Vunjo?

Kaka NAOMBA utumie vizuri uwezo wako wa kufikiri.
Fananisha kuna hospitali lkn ni dhofu bin khali. Unaweza fananisha hospitali ya Igogwe na kcmc? Miaka 20+ iliyopita igogwe ilikuwa ZAIDI ya KCMC. Lkn sasa Igogwe imekufa kabisa. Rungwe kuna majina tu ya hospitali lkn hamna hospitali. Ili ni ENEO moja tu. Kuna mengine mengi ya kuyatolea mfano, ila MUDA si rafiki.
Nadhani utakuwa umeelewa umuhimu wa influence na lobbying.
 
Tutalinabhanyakyusya bha hovyo kangi uli ughwe. Nyoko kweli ughwe...... utwe tukubhopa ni tulia / Hakuna munyakyusa wa hvyo kama wewe. Sisi tunaenda na Tulia
Amahelu ga fiki kangi nkamu ?
 
Nskubaliana ksbisa na msoni haya.
Wanyakyusa TUAMKE.
Panya anayejamata panya ndio wa kumtuza.
Huyo Mwambigija na hata Sauli ni magharasha.
Akina Dr Mwakyusa walifanya nini Rungwe ? CCM hii iliyoshindwa kwa miaka 60 usitegemee ifanye lolote , nenda Kyela ukaone jinsi msomi Mwakyembe anavyoiteketeza , Mango Tree imekwenda hivi hivi tunaona !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…