Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,431
- 271,923
- Thread starter
- #201
Ohooooo !!!!Huyu Tulia namshauri atulie aokowe ndowa yake tu, huku kwenye siasa amepotoka hana upako huo. Bora Ummy Mwalimu anao mvuto wa kike.

Hiyo avatar yako ya kibabe sana Gen. Bisco Ntaganda.mkimpa ubunge huyu dada, nitawadharau sana wanyakyusa.
Wacha kuwa na kiherehere kwani waamuzi wa suala hili wako huko jimboni na matokeo tutayasikia.Wakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.
Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .
Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .
Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .
Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?
Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
ni uzi wa kitambo uliokuwa na swali ambalo majibu yake tayari yameanza kutoka , huyu hakufadhili ngoma bure , Style yake ni ya nipe nikupeWacha kuwa na kiherehere kwani waamuzi wa suala hili wako huko jimboni na matokeo tutayasikia.
Kama anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge atuambie Je Ndugai atakuwa naibu wake? Maana mwezi uliopita JPM alipita Kongwa na kumpa baraka Ndugai kwa ajili ya jimbo na Uspika.Anaandaliwa kuwa speaker huyo maana aliopo aliopo hajui kwa nini yupo pale!!! Atakuwa mstaafu akiwa ndani ya Bunge
Ni kweli , nimetumwa na MunguMleta uzi "umetumwa"
UDSL ndo wapi mkuu?Dr. Tulia Alikua bonge la lecturer, nakumbuka ndiye aliotuweka sawa kwenye first year orientation ya UDSL maana tulikua very exhausted, I Will always remember her for that,,, na namwomba akimaliza siasa arudi nyumbani UDSL.
Akipewa na Chama Chake Utamdharau nani?mkimpa ubunge huyu dada, nitawadharau sana wanyakyusa.
Wakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.
Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .
Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .
Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .
Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?
Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
Picha inajieleza kabisaa....Kila la kheri Mrs Mwainyekule, Ila sisi wanambeya bado tunamtaka Sugu sana. Karibu uifahamu mbeya ya wanafki ndo sisi ha ha haaaa