Dr. Steven Ulimboka anarudi leo saa sita mchana

Aiseeee baba yangu nipo chalinze natoka rombo na fuso nitamwai kweli airport ngoja nimwambie suka akanyagie kibati

nimebeba mbege ya kumpa dr ulimboka
 
mliopo airport tunaomba updates please, wengine tupo safarini nje ya dar.
 
Aiseeee baba yangu nipo chalinze natoka rombo na fuso nitamwai kweli airport ngoja nimwambie suka akanyagie kibati

nimebeba mbege ya kumpa dr ulimboka
 
Aiseeee baba yangu nipo chalinze natoka rombo na fuso nitamwai kweli airport ngoja nimwambie suka akanyagie kibati

nimebeba mbege ya kumpa dr ulimboka

Join Date : 9th August 2012
Posts : 71
Rep Power : 315
Likes Received6
Likes Given 0




DUh unayofanya hayafanani na jina lako mkuu. Ila nadhani ni umri ulio nao huku pia
 
Hao watu wa usalama kwani wana ratiba yake mkuu, nakumbuka hata alipokwenda Afrika Kusini hawakuwa na taarifa , iweje ujio wake wawe na taarifa? na kwanza ili iweje. Sidhani kama watu wa usalama wana muda kama huo wa kusubiri mtu aliyekwishajifia.

???????????
 
Mr Airborne Ulimboka
flying over political boundaries
coming home
on a need to know basis
we need to know
the truth
and nothing
but the truest
in times
of deception.
 
Mahari imetolewa, Mahari imetolewa, dada huyo anaaolewa, dada huyo, anaolewa. Next episode 5, Dr. Ulimboka declares war with state officials. Dear viewers dont miss this and stay tuned.
 
Aiseeee baba yangu nakaribia mbezi nikifika ubungo nachukua bodaboda mpaka airport
 
Join Date : 9th August 2012
Posts : 71
Rep Power : 315
Likes Received6
Likes Given 0



DUh unayofanya hayafanani na jina lako mkuu. Ila nadhani ni umri ulio nao huku pia

aiseeeee baba yangu m2akipata ban huwa anafanyaje??? Na yeye ni mpenzi wa jf mwakani natimiza miaka 5 ndani ya jf
 
Aiseee baba yangu nipo airport wandishi wa habari kibao hata kwa kuweka mguu pagumu

nimeshikilia kidumu changu cha mbege mkononi
 
Amkumbuke muumba wake, kwani ni wachache wanaorudi, wakishafika Mabwe. Mungu bado yu pamoja naye.
 
Sasa atakufa, kule si alikuwa anakula kuku kwa mrija, hapa sasa amekuja kwa maadui zake, damu ya maheremu waliokufa kutokana na mgomo nayo itakuwa inamuita, wapo watakapomshauri vibaya na bila ya azizi ataingia mkenge. Lazima mawazo yatamuondoa tu. Umeua kwa upanga , nawe utakufa kwa upanga. Hatumombei iwe hivyo ila mazingira hayo yanalazimu kuwa na imani hiyo.


na hivi ni mtu wa KINYWAJI (safari za moto) tena kwenye ma bar ya vichochoroni mbona analo mwaka huu. labda aokoke,atubu na atulie kwake asubiri matokeo
 
???????????



hivi watu wa usalama wahangaike naye wa nini ? kama alienda south na ndege alipitia wapi hao usalama wamejaa airpot yote . usalama hawahangaiki na mtu aliyekufa. na wewe unayebisha hujui hao watu walimfanyanini walipomteka hadi kum ngoa meno. inasemekana walimla hadi tigo. na sidhani kama wandeshindwa kumpigilia sindano ya sumu. muombee uhai aje familia yake imuone labda ndio anakuja kuaga
 
Aiseeee baba yangu dr kapona hana hata kovo,,watu ni wengi sana lakini kulikuwa hakuna hata polisi hata mmoja hii inadhirisha kwamba jeshi la polisi na jei kei wanausika

nimeshindwa kumpa ile mbege niliyotoka nayo rombo baba yangu yewiiiiiiiiiii
 
we mbona unaongea kama vile we peke yako ndo m-tz? Yani kama vile unajua hisia za watanzania wote!kwa taarifa yako 'hakuna victim wa mgomo' huku mtaani,watu karibia wote waliomboleza kupigwa kwake na wanamchukulia ulimboka kama shujaa,tena mkubwaa. Hauleweki unaposema kuwa 'atadhurika kwa vyovyote vile' we nani?au ndo wale tulioambiwa kwenye vyombo vya habari?unafikiri dunia ya leo watu wanaogopa kifo?angalia Egypt, Syria, Libya, Sudan, nk. Acha mnyönge na maisha yake sio kufatanafatana na kuoneana..umeboa

kama maisha ya leo watu hawaogopi kifo sasa kilimfanya akimbilie au mumkimbize south africa akatibiwe ni nini si mngemuacha afe pale muhimbili. acha kuwa msemaji wa watanzania . unaongea kama mwanamke aliyetolewa vir..n kwa kubakwa
 
Back
Top Bottom