Dr. Slaa ziarani Marekani

Dr. Slaa ziarani Marekani

Tunamkaribisha sana

We mkimbizi nani amekupa uwezo wa Kukaribisha?

Chumba kimoja mko 9!
Viatu mlangoni ka mko msibani!

Umkaribishe wapi sasa wakati Sebule yenyewe mnachangia na Wanigeria 18 nyumba vyumba vitatu!

Teh teh teh teh!
 
#alfred Daud Pigangoma Mtu mwingine yeyote anaweza kuwa rais wangu, isipokuwa Dr. slaa! Upadri ulimshinda....urais Ndo ataweza.....he will never be a president...
Haha..umeshindwa tuu tambua ....Ni Kwamba Mapadrini wengi ila watu wenye kuweza ongoza TZ hakuna.Sijui mmelaaniwa nyie ....mmetoa sana albino na kula viapo kuzimu,huku mkila minyama iliyochinjwa kwa roho za mungu wa kutumikisha mandondosha na kuiba nyota za wengine.Siku zote mtapishana na vyema.
 
Rais Wa watu Dr. Slaa Mungu amlinde na hatari zozote za roho na mwili dhidi ya majizi yote ya CCM aingie ikulu Oct.
 
Teh teh teh!
Ukiiona ofisi ya CHADEMA Ya Ohio utafkiri vile vioski vya wachaga vya kuuzia Vocha huko Bongo!
Halafu jamaa wote wanaoshinda hapo Hawana Kibarua chochote.
Ni kupuliza ganja Na Kupiga mizinga washkaji tu mchana kutwa.

Hivi CDM maskini Namna hii? Na Yale mapesa waliopewa na yule Mdosi huko Bongo yamepelekwa wapi?

Au Zimeenda kuboresha Mashamba ya Vitimoto huko Rombo?

Cc Ritz

Ni kweli mkuu wachaka hawana kitu wanawapiga mizinga wandengereko na wazaramu si unajua wako fiti na waha kidogo
 
Dr. slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.

Akiwa huko Dr. slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu maswala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali waserikali ya marekani.

Hongera sana Dr. Slaa...

Babu Slaa ambaye ndio Babu Bubu kuliko wote ktk CDM.
 
Rais wetu mtarajiwa safari njema, Kwa sasa ninajua macho yote duniani yanakuangalia wewe kama next president wa Tanzania
 
Teh teh teh! Ukiiona ofisi ya CHADEMA Ya Ohio utafkiri vile vioski vya wachaga vya kuuzia Vocha huko Bongo! Halafu jamaa wote wanaoshinda hapo Hawana Kibarua chochote. Ni kupuliza ganja Na Kupiga mizinga washkaji tu mchana kutwa. Hivi CDM maskini Namna hii? Na Yale mapesa waliopewa na yule Mdosi huko Bongo yamepelekwa wapi? Au Zimeenda kuboresha Mashamba ya Vitimoto huko Rombo? Cc Ritz
haha..ungejua usemalo pengine ungebadilika sana.Siku nilishtuka hadi nikapaliwa na bia ni mpuuzi km wewe alipotoa comment wakati akiwa chini ya ulinzi bila jijua.
 
Last edited by a moderator:
Rais wetu mtarajiwa safari njema, Kwa sasa ninajua macho yote duniani yanakuangalia wewe kama next president wa Tanzania

Huu UKAWA ni geresha tu. ishu ni wanakaskazini kushika dola na kuimarisha imani ya Babu Slaa.
 
Rais Wa watu Dr. Slaa Mungu amlinde na hatari zozote za roho na mwili dhidi ya majizi yote ya CCM aingie ikulu Oct.
Haha..wenzio wanashtuka san ukisema hivyo...wanahisi kupoteza John Mpiga Ramli mwingine...
 
Utajibeba hama nchi kama unaweza dr slaa ndio mpango mzima kama ulifikiri vingine ndio baaasi tenaa.

Na Lipumba kakubali kuiua CUF kwa kuwapa nafasi kugombea urais watu wa chagadema! sasa UKAWA ndio umekwisha rasmi na chagadema mmeshateua mgombea wenu! poleni wana CUF.
 
Dr. Slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini Marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.

Akiwa huko Dr. Slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu masuala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali wa serikali ya Marekani.

Hongera sana Dr. Slaa...
Dr. Tunakuhitaji na tunakuamini.
 
Hichi kibabu kipadri kilichotengwa na kanisa kameongozana na hawara yake??
 
haha..ungejua usemalo pengine ungebadilika sana.Siku nilishtuka hadi nikapaliwa na bia ni mpuuzi km wewe alipotoa comment wakati akiwa chini ya ulinzi bila jijua.

Mnywa gongo unaota kuwa iko siku mimi ntawekwa Chini ya Ulinzi wakati wewe unakunywa bia au sio?

Halafu tukisema Gongo inawehusha mnakuwa wakali.
 
Sijawahi kuona Muhaya Mwana CHADEMA.
We lzm utakuwa MKEREWE uliezamia.

Acha upunguani wewe inaelekea uko nyuma sana kwa habari za kisiasa. Yule Mbunge anaitwa Dr. Anthony Mbasa wa Biharamulo Magharibi nae ni Mkerewe? Tena kwani waliomchagua ni Wakerewe? Je; Jimbo la Biharamulo Magharibi lipo Ukerewe. Inaelekea ulianza kupata ziro ya Geography kabla na hata baada ya kuzaliwa kwako.
 
We mkimbizi nani amekupa uwezo wa Kukaribisha?

Chumba kimoja mko 9!
Viatu mlangoni ka mko msibani!

Umkaribishe wapi sasa wakati Sebule yenyewe mnachangia na Wanigeria 18 nyumba vyumba vitatu!

Teh teh teh teh!
sijakupata embu acha kupanic shida ni nini hapa..upo mzima kweli..unaongea kama mtu aliyekata tamaa
 
Back
Top Bottom