Dr. Slaa ziarani Marekani

Dr. Slaa ziarani Marekani

Slaa muongo-muongo...Nani ampe kura ya urais.....najua yuko studio Indiana, movie inakuja....kaeni mkao wa kula....
 
Yeah, Go Dr goo. the next DRT president.
God almighty be with U forevey more.
.
 
@ TAWA
Tafuta uraia wa Kenya , manake Mwezi November tunaapisha jizi kuwa rais wako....
 
Saccos kwa kuchoma pesa nawakubali.Ngoja October muone ruzuku yenu itakavyoporomoka.Lazima kila mtu atachagua mlango wa kutokea.Wamburu kivyao na Wachaga kivyao.

Inasemekana mlimuibia Kura 2010,Mwaka huu inasemekana wamejipanga kuhakikisha hakuna wizi wa Kura.Kuhusu Ukabila mnaohubiri hauna nafasi Tanzania.Mmejaribu Udini,Maaskofu wamewaumbua.Itafika wakati mtashindwa kukanyaga Arusha na Moshi kwa sababu zetu za Ukabila.Jifunzeni kutoka Pemba mlivyogeuzwa kuwa Wapinzani wa Kudumu.
 
Ndiyo hivyo tena, Dr. Yupo huko mbele kwa faida ya Chama. Kila lenye kheri Daktare.
 
Ndiyo hivyo tena, Dr. Yupo huko mbele kwa faida ya Chama. Kila lenye kheri Daktare.
 
Ndiyo hivyo tena, Dr. Yupo huko mbele kwa faida ya Chama. Kila lenye kheri Daktare.

Akituwakilisha vema na kutetea maslahi ya Tanzania na watu wake. Kwenye panel discussion na negotiations Dr Slaa ni level ya juu saana. Mungu akulinde Mh Rais
 
huyu babu anahangaika tu wa Marekani ndo wapiga kura wake?
 
Dr Slaa raisi wetu mtarajiwa tunakutakia kila heri katika safari yako Mungu akulinde huko ulipo .
 
Labda rais wa wazee, mama anataenda kweli maana mtoto wa bodyguard bado mdogo sana kwa safari ndefu.
 
Back
Top Bottom