Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,430
- 271,918
THE BEST HON DR SLAA hakuna wa kufanana naye nchi hii , kuwa na mtu huyu kwa nchi iliyojaa wezi kama hii ni bahati kubwa sana .Hee kumbe Babu slaa ni LULU,lulu yupo wa movie au?
THE BEST HON DR SLAA hakuna wa kufanana naye nchi hii , kuwa na mtu huyu kwa nchi iliyojaa wezi kama hii ni bahati kubwa sana .Hee kumbe Babu slaa ni LULU,lulu yupo wa movie au?
Hichi kibabu kipadri kilichotengwa na kanisa kameongozana na hawara yake??
unaona unamsema Kikwete kinyume kinyumeBabu kuwa makini na macho maana wewe kizuri hakipite mbele yako. Ukiwachukua wakw za watu watakufanza vibaya hao hawana mchezo kwa issue ya wake zao
Dr. Slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini Marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.
Akiwa huko Dr. Slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu masuala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali wa serikali ya Marekani.
Hongera sana Dr. Slaa...
Sijawahi kuona Muhaya Mwana CHADEMA.
We lzm utakuwa MKEREWE uliezamia.
wanamtega!
nenda LUMUMBA utazipataWapi habari ofishall kutoka ofisi ya Govenor of Indiana kuhusu ziara ya huyu Doctor wa sheria za kanisa Katoliki?
Nenda utumie rudhuku za Chama maana cha kuzifanyia nchini hakipo.
Huu UKAWA ni geresha tu. ishu ni wanakaskazini kushika dola na kuimarisha imani ya Babu Slaa.
Dr Slaa amekwenda na Girl friend wake?
Dr. slaa nenda kale bata..tuu,..ila hawezi kuwa rais kwa kuwa hawezi kuwa:
Bora kutumia ruzuku kuimarisha chama kuliko kutumia Kodi kuzurura zurura kwanza yupo kweli nchini mara ya mwisho alikuwa Saudia anakula tende na halua karudi kweli?Saccos kwa kuchoma pesa nawakubali.Ngoja October muone ruzuku yenu itakavyoporomoka.Lazima kila mtu atachagua mlango wa kutokea.Wamburu kivyao na Wachaga kivyao.