Dr. Slaa ziarani Marekani

Dr. Slaa ziarani Marekani

sitasahau ile hotuba ya kufa mtu ulioimwaga kipindi kileeee , Tunamshukuru sana Mungu kwa kukuumba Dr Slaa ndani ya nchi hii , wewe ni lulu .
 
Wamarekani ni watu wa kucheza nao kwa akili sana! Najua USA wanataka kuhakikishiwa kuwa interest zao zitalindwa pindi CHADEMA wakichukua nchi... Ni Vema sana Mbowe na Slaa wakawa makini na waweke wazi kuwa nchi hii Rasilimali zake lazima ziwanufaishe Watanzania kwanza! ikiwezekana wawaambie ukweli kuwa na sisi kama wao kwani tunatanguliza maslahi ya nchi yetu kwanza ...
 
Wengine wakienda ziara nchi za nje wanafuja pesa za serikali LAKINI slaa akienda?
anafuja pesa za............................?s.......././...e/.,.,..,,,ng;;;,,,,,,,,,,,e sana:noidea:
 
Dr. slaa jana alianza ziara ya siku 9 chini marekani ambako amealikwa na Gavana wa jimbo la Indiana.

Akiwa huko Dr. slaa atakutana pia na maprofesa mbali mbali na kutoa mihadhara mbalimbali kuhusu maswala ya uwekezaji, uchumi nk. pia Dr. slaa atakutana na viongozi mbali mbali waserikali ya marekani.

Hongera sana Dr. Slaa...

Dr Slaa amekwenda na Girl friend wake?
 
Dr Slaa amekwenda na Girl friend wake?


Hii ndio akili iliyosalia,Kwenye Mwenge na kipindi cha kampeni,kampeni zikiisha habari yao wanayo.

Nikukumbushe tu kuwa safari ya Dr.slaa ndo ungejadili,mambo ya girlfriend hauatusaidii,kwani hata wewe hatijauliza huna au unaye
 
Hongera Raisi wetu wa mioyoni tayari dunia inajua wewe ndio Raisi ujaye tunafurahi jinsi watanzania ambavyo wamejizatiti kwamba safari hii haibiwi kura mtu nenda uwaeleze mipango na sera nzuri za chama chako
 
ameenda kuwapigia magoti wazungu wamsaidie uchaguzi mkuu, kibaraka wa wazungu
 
Hii ndio akili iliyosalia,Kwenye Mwenge na kipindi cha kampeni,kampeni zikiisha habari yao wanayo.

Nikukumbushe tu kuwa safari ya Dr.slaa ndo ungejadili,mambo ya girlfriend hauatusaidii,kwani hata wewe hatijauliza huna au unaye

Mkuu mbona hujajibu swali langu?
 
Back
Top Bottom