Kila la kheri Rais Mtarajiwa.
Taifa lote lipo nyuma yako.
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!
asitumike kama mwavuli wa kuficha maovu yenu
mzimu huu utawafuata popote walipo katika maisha yao yaliyobaki.
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!
JF ni forum ya Chadema?
Tuwasiliane nawe wapi, hapa JF?!Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!
Mzimu huu utawafuata Popote Walipo katika Maisha yao yaliyobaki.
Mkuu tayari alishatuma watu kusambaza anaenda kuhakiki kama umefika.Anakwenda kusambaza waraka Wa siri uliochakachuliwa. Hatutaki aje kigoma...