Dr slaa ziarani katika mikoa ya shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida.

WAITARA

Member
Sep 23, 2013
68
37
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!
 
haya ndo mambo siyo matamko, tena amefanya mvizuri kwenda kanda aliyokuwa anaongoza Zitto ili kupima upepo, ingawaje nina hofu dola za ujerumani zinaweza kuhusika kuhujumu mikutano hiyo.
 
chacha-wangwe.jpg

Mzimu huu utawafuata Popote Walipo katika Maisha yao yaliyobaki.
 
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!

Pamoja sana kamanda! Ila please verify id yako. Taasisi kubwa kama chadema haisemewi kwa kutumia unverified id! cc Tumaini Makene, Ben Saanane, Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Kigoma anatemebele jimbo gani huyo padriiiiiii
 
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!

JF ni forum ya Chadema?
 
Tuwasiliane nawe wapi, hapa JF?!
 
chacha-wangwe.jpg

Mzimu huu utawafuata Popote Walipo katika Maisha yao yaliyobaki.

Unao ushahidi mkuu au ndo kufuata upepo? Jambo hilo ni Zito zaidi ya mwana wa Zuberi! Mahakamani mbona hukuonekana kudhibitisha mauwaji
 
Lazima tukapazibe alibomoa mwizi{ccm},
Kati ya mitihani mikubwa kabisa ambayo chama cha upinzani kina kabiliana nayo mashushu na mapandikizi kutoka chama tawala,na hii ndio silaha ya mwisho ya ccm
Chadema wakifaulu huu mtihani,watatunukiwa cheti cha ufaulu kuanzia mwakani
 
Kigoma hatutaki tena kusikia habari za Slaa na Mbowe,aje aone atakavyofanyiwa,atajuta kwa nini kaja kigoma. Tumefadhaishwa na uonevu na ubaguzi uliofanyika,hasira za wana wa kigoma zilizoishia kuchana bendera na kuvunja mashina ya chadema zitaishia kwa Slaa,yetu macho.
 
Nitafurahi kusikia ufanisi wa ziara yake Kigoma,lakini kwa mawazo yangu sio busara kwake kwenda huko SASA, kwani kama akikutana na hasira za wananchi huko,hiyo itakuwa ni publicity mbovu kwa chama hasa kwa wakati huu ambao wanachama wapo kwenye sintofahamu ya muelekeo wa chama chao,sijui kwanini anataka kutake hii risk!!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom