Weak leader who fetched all those votes.take 5. ni weak leader
Weak leader who fetched all those votes.
Weak leader who is making CCM to walk on their toes
Weak leader who you even planted eavesdrop gadgets under his bed?
Tulia ww

Alafu akishatulia?
huwezi kukuta m2 mwenye elimu yake na asiye kura kwa kupitia ccm akashabikia ccm nyie wenyewe mnalijua hilo ila mmekaria porojo 2 nnajifanya hamjui sababu ya wa2 wa mijini kuwakataa nyinyi mnatumia ujinga wa wa2 wa vijijini ku kuishi pumbafu
Mnaojidanganya kupiga kelele ili Slaa akitoka muisambaratishe chadema hamtafanikiwa!
Kama kuna jambo ZITO CHADEMA wanaweza kufanya kufanya kwa sasa ni kumstaafisha DR. SLAA kwa utendaji mbovu ambao unakigharimu chama kutoka kwenye peak na kuwa chama cha kawaida kisicho na mkakati wa kuchukua nchi.
Kwa mfano CCM wakimtoa Makamba,Mukama,sasa yupo Kinana anahuisha CCM mikoani ambapo ilishajifia lakini ameleta changamoto mpya.
Slaa hana strategy mpya wala mbinu mbadala zaidi ya zile za kila siku kuwa CCM wezi mafisadi lakini hatuoni siasa mbadala.
Wabunge wanaparurana bungeni yeye yupo kimya. Wajumbe wa baraza kuu wanaomba mkutano mkuu yeye yupo kimya.
Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.
Slaa hembu pumzika chama kisije kikafa kwa ajili ya ubabe wako.

Hivi kwa nini Dr Slaa anachukiwa sana na baadhi ya watu? kwa mujibu wa baadhi ya post zinazojirudia kila mara hapa JF.
DR anawanyima usingizi kabisa eee!! na bado 2015 lazima muelewe!!Kama kuna jambo ZITO CHADEMA wanaweza kufanya kufanya kwa sasa ni kumstaafisha DR. SLAA kwa utendaji mbovu ambao unakigharimu chama kutoka kwenye peak na kuwa chama cha kawaida kisicho na mkakati wa kuchukua nchi.
Kwa mfano CCM wakimtoa Makamba,Mukama,sasa yupo Kinana anahuisha CCM mikoani ambapo ilishajifia lakini ameleta changamoto mpya.
Slaa hana strategy mpya wala mbinu mbadala zaidi ya zile za kila siku kuwa CCM wezi mafisadi lakini hatuoni siasa mbadala.
Wabunge wanaparurana bungeni yeye yupo kimya. Wajumbe wa baraza kuu wanaomba mkutano mkuu yeye yupo kimya.
Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.
Slaa hembu pumzika chama kisije kikafa kwa ajili ya ubabe wako.
Ni kauli nzito iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W. Slaa baada ya kushutumiwa pamoja na Mwenyekiti wake juu ya uvujaji wa mamilioni ya chama hicho.
Ametoa kauli hiyo na kusema wasome katiba vizuri.
- Wenyewe wahoji matumizi ya Ruzuku, kususia Bunge la Katiba
- Wadai Mbowe amejilipa milioni 700/= za chama kinyemela
- Washinikiza kuitishwa Mkutano wa Baraza kuu kuwahoji
Source: Raia Tanzania
![]()