Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

Wa kujiuzuru ni KInana ambaye na mwenyekiti wake wamekimega chama mapande kiasi cha kwamba kila mtu anaropoka atakavyo na kichwa cha mwenyekiti wa CCM kuwa hamnazo
 
Wanao paswa kujiuzulu ni wale wote walio tusababisha kuwa mafukara kwa muda wa miaka hamsini.
 
Hii sacos sasa inaelekea kubaya sana shimo liko karibu watadumbukia shimoni mapema kabisa.
usije ukalinganisha sccos ya ccm ambayo ni ya baba mama na mwana
 
Mbowe na Slaa waitishe kikao cha baraza kuu ili mbivu na mbichi zijulikane.Kama wao ni wasafi itajulikana tu haina haja ya wao kuwakashifu wenzao,Wajibu tuhuma zinazowakabili maana hiyo ndiyo demokrasia wanayosema wanaipigania nchi hii.
taratibu za chama hazipangwi na walipwa book 7 JF hamuwezi kuwapangia mamluki wakubwa uzuri mumeshajichora sura wazi
 
Magamba mtaweweseka sana mwaka huu,Dr Slaa ndo kiboko yenu! Hahongeki wala hanunuliki kama wale masalia mliowazoea!
 
taratibu za chama hazipangwi na walipwa book 7 JF hamuwezi kuwapangia mamluki wakubwa uzuri mumeshajichora sura wazi

Akili yako ndogo sana,Hivi unadhani kila anayekosoa au kushauri uongozi wa CHADEMA ni mamluki au LB7?Mimi sina Chama wala sina mpango wa umiliki kadi ya Chama chochote.Mimi ni Mtanzania huru nisiyefungwa na itikadi ya Chama chochote ninayetoa maoni yangu huru na nilikataa kabisa huu ujinga wa kujifanya Mafia Chama ambao kiuhalisia kabisa huu ni sawa na utumwa au msukule wa Chama.Endelea kutumia miwani ya kiitikadi ya Viongozi uwapendao katika kujadili maswala ya msingi.
 
Kama kuna jambo ZITO CHADEMA wanaweza kufanya kufanya kwa sasa ni kumstaafisha DR. SLAA kwa utendaji mbovu ambao unakigharimu chama kutoka kwenye peak na kuwa chama cha kawaida kisicho na mkakati wa kuchukua nchi.

Kwa mfano CCM wakimtoa Makamba,Mukama,sasa yupo Kinana anahuisha CCM mikoani ambapo ilishajifia lakini ameleta changamoto mpya.

Slaa hana strategy mpya wala mbinu mbadala zaidi ya zile za kila siku kuwa CCM wezi mafisadi lakini hatuoni siasa mbadala.

Wabunge wanaparurana bungeni yeye yupo kimya. Wajumbe wa baraza kuu wanaomba mkutano mkuu yeye yupo kimya.

Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.

Slaa hembu pumzika chama kisije kikafa kwa ajili ya ubabe wako.
Always the same stupid boring song, sang by the same imbecile hoodlum!
 
Chadema sio lazima iongozwe na watu wa kaskazini tu. Ni muda sasa na wengine wapewe nafasi.
attachment.php
 
kwakweli wakorofi hatuwataki, chdma ni chama cha kiungwana sana, siyo kama ccm, nawashauri wakorofi wote waende ccm
 
matamko ya kuandikiwa na kulipiwa press conference hayo. sawa wakachukue nauli warudi makwao wakaendelee na kilimo, au wakajiunge na mtoto mpya wa ccm, aitwaye act.
 
Kama kuna jambo ZITO CHADEMA wanaweza kufanya kufanya kwa sasa ni kumstaafisha DR. SLAA kwa utendaji mbovu ambao unakigharimu chama kutoka kwenye peak na kuwa chama cha kawaida kisicho na mkakati wa kuchukua nchi.

Kwa mfano CCM wakimtoa Makamba,Mukama,sasa yupo Kinana anahuisha CCM mikoani ambapo ilishajifia lakini ameleta changamoto mpya.

Slaa hana strategy mpya wala mbinu mbadala zaidi ya zile za kila siku kuwa CCM wezi mafisadi lakini hatuoni siasa mbadala.

Wabunge wanaparurana bungeni yeye yupo kimya. Wajumbe wa baraza kuu wanaomba mkutano mkuu yeye yupo kimya.

Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.

Slaa hembu pumzika chama kisije kikafa kwa ajili ya ubabe wako.
Uongozi wa Mbowe na Slaa ndo umewezesha hata wabunge waongezeke.
Ushiriki wa Slaa katika kinyang'anyiro cha Uraisi ulisaidia kukijenga chama hasa vijijini.
Slaa hakuibukia katika ukatibu mkuu kwani hata kabla ya hapo mchamgo wake bungeni ulikuwa wa hali ya juu.
Mtu yoyote anayeiona Slaa kaua chama hana kumbukumbu.
Nimeandika mara nyingi lakini angalia state interference katika mambo ya CDN na mtagundua kuwa si Slaa wala Mbowe ila serikali iko nyuma ya kuhakikisha CDM inakufa.
Narudia kuandika tena wanaofurahia kuona CDM ikifa na wale wote ambao ni myopic!!!!
Unapokuwa na chama cha upinzani ambacho mnapingana kwa hoja ni bora mara elfu kuwa na upinzani ambao hamzungumzi ila ni mitutu (south Sudan).
Multi partism ni muhimu kwa ustawi wa Taifa letu na ni lazima hata walioko CCM walifurahie jambo hili.
Umeingizwa udini,umeingizwa useja na uoaji,umeingizwa ugaidi lakini bado CDM inadunda.
 
kwakweli wakorofi hatuwataki, chdma ni chama cha kiungwana sana, siyo kama ccm, nawashauri wakorofi wote waende ccm

sawa mkuu, cdm chama cha wasafi, timuatimua imekigarimu chama, leo tukanatukana unadhani haitakigharimu chama?
 
Uongozi wa Mbowe na Slaa ndo umewezesha hata wabunge waongezeke.
Ushiriki wa Slaa katika kinyang'anyiro cha Uraisi ulisaidia kukijenga chama hasa vijijini.
Slaa hakuibukia katika ukatibu mkuu kwani hata kabla ya hapo mchamgo wake bungeni ulikuwa wa hali ya juu.
Mtu yoyote anayeiona Slaa kaua chama hana kumbukumbu.
Nimeandika mara nyingi lakini angalia state interference katika mambo ya CDN na mtagundua kuwa si Slaa wala Mbowe ila serikali iko nyuma ya kuhakikisha CDM inakufa.
Narudia kuandika tena wanaofurahia kuona CDM ikifa na wale wote ambao ni myopic!!!!
Unapokuwa na chama cha upinzani ambacho mnapingana kwa hoja ni bora mara elfu kuwa na upinzani ambao hamzungumzi ila ni mitutu (south Sudan).
Multi partism ni muhimu kwa ustawi wa Taifa letu na ni lazima hata walioko CCM walifurahie jambo hili.
Umeingizwa udini,umeingizwa useja na uoaji,umeingizwa ugaidi lakini bado CDM inadunda.[/QUO
mbn povu linakutoka
 
toa pendekezo wampe nani hiyo nafasi mbadala? mbona unatoa ushauri nusu nusu au unajua kulalamika tu? hujui kutatua. aya wamekusikia.
 
Hao watoa matamko nani asiyewajua? Wote hao wamekalia kuti kavu! Waacheni watumike lakini cdm ipo palepale na hatuwezi kuhangaika na hao wachumia tumbo! Tutaondoa kila msaliti cdm ibaki safi.

Alichofanya Dr. Slaa ni kumpiga chura teke kumwelekezea kwenye tanuru la moto. Utakuwa umeelewa huo msamiati, chura ninaemzungumzia hapo ni CDM.
 
slaa bado yuko juu, hawezi kujiuzulu, utasubiri sana, unataka ajiuzulu ili upumue??
 
Back
Top Bottom