singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
wahenga walisema nyani haoni kundule
Khaa!! Kama mtu aliweza kulisaliti kanisa kisha akamsaliti mkewe unategemea atamuheshimu mwananchi myonge??
Aisee embu ngoja nitafakari kwanza.......au hata anaetafakari kwanza nae ana shida?wakuu, ujinga siyo tusi, mjinga ni mtu ambaye hajui kitu flani na anajua kama hajui lakin akielekezwa atajua, sasa sidhani kama watu wote wanajua kila kitu.. kwa vile hakuna m2 anaejua kila kitu basi sisi wote ni wajinga na wapumbavu
Khaa!! Kama mtu aliweza kulisaliti kanisa kisha akamsaliti mkewe unategemea atamuheshimu mwananchi myonge??
Ni kweli ujinga sio tusi...lakini wajinga ni viongozi wa cdm wanaokivunja chama kwa sera zao za utengano. sijui majimbo, serikali 3, ..wameacha kutetea utawala bora wanahaha kulinda vyeo vyao na kuleta katiba ya vyeo lukuki.wakuu, ujinga siyo tusi, mjinga ni mtu ambaye hajui kitu flani na anajua kama hajui lakin akielekezwa atajua, sasa sidhani kama watu wote wanajua kila kitu.. kwa vile hakuna m2 anaejua kila kitu basi sisi wote ni wajinga na wapumbavu
kwa nini wakurugenzi wa CHADEMA makao makuu wanalipwa hela nyingi sana wakati viongozi wa mikoani na wilayani hawapati kitu? Roho inaniuma sana jinsi ruzuku ya chama inavyofujwa
hivi kwa nini dr.Slaa analipwa mshahara mkubwa kupita waziri? roho inaniuma sana jinsi ruzuku ya chama inavyofujwa
hivi kwa nini dr.Slaa analipwa mshahara mkubwa kupita waziri? roho inaniuma sana jinsi ruzuku ya chama inavyofujwa
Ni kauli nzito iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W. Slaa baada ya kushutumiwa pamoja na Mwenyekiti wake juu ya uvujaji wa mamilioni ya chama hicho.
Ametoa kauli hiyo na kusema wasome katiba vizuri.
- Wenyewe wahoji matumizi ya Ruzuku, kususia Bunge la Katiba
- Wadai Mbowe amejilipa milioni 700/= za chama kinyemela
- Washinikiza kuitishwa Mkutano wa Baraza kuu kuwahoji
Source: Raia Tanzania
![]()