Uongozi wa Mbowe na Slaa ndo umewezesha hata wabunge waongezeke.
Ushiriki wa Slaa katika kinyang'anyiro cha Uraisi ulisaidia kukijenga chama hasa vijijini.
Slaa hakuibukia katika ukatibu mkuu kwani hata kabla ya hapo mchamgo wake bungeni ulikuwa wa hali ya juu.
Mtu yoyote anayeiona Slaa kaua chama hana kumbukumbu.
Nimeandika mara nyingi lakini angalia state interference katika mambo ya CDN na mtagundua kuwa si Slaa wala Mbowe ila serikali iko nyuma ya kuhakikisha CDM inakufa.
Narudia kuandika tena wanaofurahia kuona CDM ikifa na wale wote ambao ni myopic!!!!
Unapokuwa na chama cha upinzani ambacho mnapingana kwa hoja ni bora mara elfu kuwa na upinzani ambao hamzungumzi ila ni mitutu (south Sudan).
Multi partism ni muhimu kwa ustawi wa Taifa letu na ni lazima hata walioko CCM walifurahie jambo hili.
Umeingizwa udini,umeingizwa useja na uoaji,umeingizwa ugaidi lakini bado CDM inadunda.[/QUO
mbn povu linakutoka