Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

haina shda, kama wewe siyo mjinga basi ni mupumbavu, ni bora mjnga kuliko mupumbavu

mkiitwa wapumbavu pia mtasema bora mupumbavu kuliko mjinga.....pole yako mhanga wa m4c!
 
Naomba tuachane na matusi, naomba kuwajua hao wajinga wa CHADEMA ni kina nani haswa!
 
Tulishasema chadema ni SACCOS ya wachaga /kaskazini. Mnayaona sasa.
 
Ni kweli hao itakuwa ni wajinga kwa sababu mtu mwerevu huuliza na kupitia vikao vyao vya chama lakini ukiona mtu anakuja na matamko ya kijinga kama yale huyo ni mjinga kweli kweli.
 
Sasa hapo mjinga ni nani baina ya wanaotumia haki yao ya kikatiba kuhoji ama yule anayeshindwa kujibu hoja?
 
Cdm ni janga mtu akitafuta haki zake anambiwa katumwa
Ukibanwa na uongozi na unaona hawasikii pakupazia sauti lako ww mnyonge ni media tu
Kama mnaona walewauni si wanachama wenu kanusheni muwakatae hapa

Bado mnajipambanuwa nyie ndio wana democrasi ilhali ndani ya vyama vyenu hakuna democrasia

Hao watoa matamko nani asiyewajua? Wote hao wamekalia kuti kavu! Waacheni watumike lakini cdm ipo palepale na hatuwezi kuhangaika na hao wachumia tumbo! Tutaondoa kila msaliti cdm ibaki safi.
 
Sasa hapo mjinga ni nani baina ya wanaotumia haki yao ya kikatiba kuhoji ama yule anayeshindwa kujibu hoja?

kuna hoja hapo kwa hao wachumia tumbo? Haya matamko yao uchwara mbona tumeyazoea,mwaka sasa unapita toka tuanze kuyaona mitandaoni na CDM ipo palepale.Magamba na makuwadi wao mtatapatapa sana mwaka huu!
 
Cdm ni janga mtu akitafuta haki zake anambiwa katumwa
Ukibanwa na uongozi na unaona hawasikii pakupazia sauti lako ww mnyonge ni media tu
Kama mnaona walewauni si wanachama wenu kanusheni muwakatae hapa

Bado mnajipambanuwa nyie ndio wana democrasi ilhali ndani ya vyama vyenu hakuna democrasia

si kila kudai haki kwa kuvunja haki , ni halali.Kudai haki lazima kufuate taratibu na kanuni.Si kweli kudai haki kwa kwenda ikulu kutukana ukapata haki, bali utaonekana unatukana, na mvunjaji wa sheria.Hivyo busara hata kama walikuwa mtazamo wa kudai haki , ni lazima wangepeleka maoni na matakwa yao kwenye chama, ili vikao halali vijadili.kuitisha press conference si kikao halali cha chama, bali ni mbinu za kuvuruga taratibu za chama.

Kama kuna jambo ZITO CHADEMA wanaweza kufanya kufanya kwa sasa ni kumstaafisha DR. SLAA kwa utendaji mbovu ambao unakigharimu chama kutoka kwenye peak na kuwa chama cha kawaida kisicho na mkakati wa kuchukua nchi.

Kwa mfano CCM wakimtoa Makamba,Mukama,sasa yupo Kinana anahuisha CCM mikoani ambapo ilishajifia lakini ameleta changamoto mpya.

Slaa hana strategy mpya wala mbinu mbadala zaidi ya zile za kila siku kuwa CCM wezi mafisadi lakini hatuoni siasa mbadala.

Wabunge wanaparurana bungeni yeye yupo kimya. Wajumbe wa baraza kuu wanaomba mkutano mkuu yeye yupo kimya.

Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.

Slaa hembu pumzika chama kisije kikafa kwa ajili ya ubabe wako.
 
nyinyi ni buku 7 ni wajinga na mapunguani, mbona hatuwasikii mkimwambia mwenyekiti wenu ajiuzulu kwa yanayoibiwa kila siku shenzy type
 
Ni kauli nzito iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W. Slaa baada ya kushutumiwa pamoja na Mwenyekiti wake juu ya uvujaji wa mamilioni ya chama hicho.

Ametoa kauli hiyo na kusema wasome katiba vizuri.

- Wenyewe wahoji matumizi ya Ruzuku, kususia Bunge la Katiba
- Wadai Mbowe amejilipa milioni 700/= za chama kinyemela
- Washinikiza kuitishwa Mkutano wa Baraza kuu kuwahoji

Source: Raia Tanzania

attachment.php

WAKOROFI=Makada wa CCM wanaovalishwa magwanda ya CHADEMA kwa nia ya kukichafua chama. Kama ni hawa kweli ni WAJINGA sana.
 
Dah! watakutukana sasa hivi, wanavyompenda huyo babu hata uwaambie nini hawakuelewi, wanadhani bado ni Padri kumbe Dk Slaa ni mchumia tumbo tu sawa na waganga njaa wengine tu.
 
Dah! watakutukana sasa hivi, wanavyompenda huyo babu hata uwaambie nini hawakuelewi, wanadhani bado ni Padri kumbe Dk Slaa ni mchumia tumbo tu sawa na waganga njaa wengine.

atakimaliza chama kanisan kashindwa ss kwenye siasa ndo anaua kabisas
 
Kwanza warudishe hela walizochukua yeye Slaa na Mbowe....then waachie chama watu wengine.
 
Kama kuna jambo ZITO CHADEMA wanaweza kufanya kufanya kwa sasa ni kumstaafisha DR. SLAA kwa utendaji mbovu ambao unakigharimu chama kutoka kwenye peak na kuwa chama cha kawaida kisicho na mkakati wa kuchukua nchi.

Kwa mfano CCM wakimtoa Makamba,Mukama,sasa yupo Kinana anahuisha CCM mikoani ambapo ilishajifia lakini ameleta changamoto mpya.

Slaa hana strategy mpya wala mbinu mbadala zaidi ya zile za kila siku kuwa CCM wezi mafisadi lakini hatuoni siasa mbadala.

Wabunge wanaparurana bungeni yeye yupo kimya. Wajumbe wa baraza kuu wanaomba mkutano mkuu yeye yupo kimya.

Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.

Slaa hembu pumzika chama kisije kikafa kwa ajili ya ubabe wako.

:llama::cool2:
 
Attachments

  • 3303.jpg
    3303.jpg
    223.5 KB · Views: 403

Hivi kwanini nikisoma thread zako huwa namkumbuka Zitto Kabwe yule bro aliyekuwaga anaheshimika sana kisiasa kabla hajapoteza heshima na umaarufu wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom