Saccos ya watu ina kuhusu nini wewe? Kaanishe ya kwenu ..........Tulishasema chadema ni SACCOS ya wachaga /kaskazini. Mnayaona sasa.
atakimaliza chama kanisan kashindwa ss kwenye siasa ndo anaua kabisas
Kama kuna jambo ZITO CHADEMA wanaweza kufanya kufanya kwa sasa ni kumstaafisha DR. SLAA kwa utendaji mbovu ambao unakigharimu chama kutoka kwenye peak na kuwa chama cha kawaida kisicho na mkakati wa kuchukua nchi.
Kwa mfano CCM wakimtoa Makamba,Mukama,sasa yupo Kinana anahuisha CCM mikoani ambapo ilishajifia lakini ameleta changamoto mpya.
Slaa hana strategy mpya wala mbinu mbadala zaidi ya zile za kila siku kuwa CCM wezi mafisadi lakini hatuoni siasa mbadala.
Wabunge wanaparurana bungeni yeye yupo kimya. Wajumbe wa baraza kuu wanaomba mkutano mkuu yeye yupo kimya.
Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.
Slaa hembu pumzika chama kisije kikafa kwa ajili ya ubabe wako.
Kwanza warudishe hela walizochukua yeye Slaa na Mbowe....then waachie chama watu wengine.
mkuu umesoma uzi au unatoa matusi2 hoja ya nguvu ni uwendawazim
Hivi kwanini nikisoma thread zako huwa namkumbuka Zitto Kabwe yule bro aliyekuwaga anaheshimika sana kisiasa kabla hajapoteza heshima na umaarufu wa kisiasa.
Chadema sio lazima iongozwe na watu wa kaskazini tu. Ni muda sasa na wengine wapewe nafasi.
We umetumwa na Nape
Alipoteza heshima na umaarufu ni Dk Slaa. aliefikia hatua ya kupopolewa mawe jukwaani,aliekokotwa mahakamani kwa kunyakua mke wamtu.
Nani ashike nafac yake? Ludovi ama mwigamba wa majigambo, ama Zitto msomi mwenye maneno mengi yasiyo na strategis hadi awe rais ndo awe waz?
vipi mbona hasira alimnyakua mamako nin?
Sasa chama kimekuwa vipande vipande na nguvu ya umma imeisha sasa wanajificha nyuma ya UKAWA.
mkuu umesoma uzi au unatoa matusi2 hoja ya nguvu ni uwendawazim