Dr Slaa Vs Lowassa

Dr Slaa Vs Lowassa

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,053
Sr. Magdalena,
Umewatusi Watanzania wenye akili na mapenzi mema kwa nchi yao kwa kupambanisha Muadilifu na Fisadi. Unapotaka kupambanisha jaribu kutafuta walau wenye caliber sawa. Mpambano wako ni kati ya R&B na dogori
 
Mods naomba matokeo yatangazwe mapema iwezekanavyo baada ya mchakato kumalizka
 
Mkuu, HAMY D, hongera sana kwa uchambuzi wako. Naona misukule imeanza kukushambulia kwa vile umenena ya kweli

Napokea pongezi mkuu. Tatizo kubwa la hawa watu humu ni kuwa kwenye umsukule mode. Sio wao tena mkuu wanao fanya maamuzi.
 
Dr.Slaa ndio chaguo la watanzania,achana na huyo fisadi lowasa.kwanza hizo hela anazogawa kama pipi kazitoa wapi?
 
dr slaa atosha!!!! huwezi mfananisha na hayo majizi!!!
 
Ndugu zangu, EL ndani ya CCM hakuna wa kumweza. Mhe. JK analijua na kila mmoja ndani na nje ya CCM analijua hilo. Ebu kwa muda wako, jaribu kufanya utafiti hata kwa watu, sijajua huyu Bwana anatumia mbinu zipi🙂. Polepole, jamaa pamoja na kelele za akina Kaka Nape, anazidi kupanda chati...Come 2015, EL hata kamatika na kwa vyovyote ataukwaa URAIS. If you can not defeat them, simply join them!

We boya umepotea njia. Ulichokiandika hapa si mahala pake. Piga kura kati ya dr slaa na edward lowasa basi.kampeni za nini wakati kule juu umetahadharishwa?
 
lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kweli siasa ni unafiki mkubwa leo wewe unamshabikia Lowasa wakati ulizunguka nchi nzima ukimtaka ajivue gamba..shame on you mtoto wa kwenye mkesha wa mwenge...
 
Slaa mnywa gongo haezi endesha hii nchi....kitu lowasa man of the people
 
Hata kama angekuwa anakunywa hiyo gongo, je mnywa gongo na mwizi anayewafanya mnalipia gharama kubwa za umeme nani zaidi??????????
 
Hata kama angekuwa anakunywa hiyo gongo, je mnywa gongo na mwizi anayewafanya mnalipia gharama kubwa za umeme nani zaidi??????????

Heri ya gongo, maana imerekebisha kwa kuondolewa sumu, kuliko mwizi.... Kura yangu na za ukoo wangu KURA kwa Dr. W. P. SLAA
 
Mods boresheni daftari la wapiga kura ili kuwawezesha wanaotumia cm km mimi kushiriki kupiga maana ni haki zetu za msingi hapa katika nchi ya JF
 
Back
Top Bottom