Natumaini hatutarudi kwenye enzi za uhujumu uchumi na ule upuuzi wa ugawaji.
Naona wanasema ni bora turudi kwenye uhujumu uchumi kuliko kuruhusu sukari ya nje! sina hakika kama haya ni matakwa ya watanzania au ya wafanya biashara. Nauliza hili swali kila siku sijawahi kupata jibu la uhakika.