VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Mwanasiasa 'huru' nchini, Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa sukari ikikosekana kwa wiki moja,Serikali yaweza kuangushwa. Katibu Mkuu huyo wa zamani wa CHADEMA aishiye nchini Canada kwasasa amesema sukari ni bidhaa muhimu.
Dr. Slaa alikuwa akizungumzia sakata la sukari linaloendelea nchini. Alizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mtanzania. Pasco upo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)
Dr. Slaa alikuwa akizungumzia sakata la sukari linaloendelea nchini. Alizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mtanzania. Pasco upo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)