Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
sukari iangusheje serikali jamani????hii mupya
sio kweli ... kwanza binafsi nashangaa kauli za kumtisha Magu hazifai kabisa
sukari iangusheje serikali jamani????hii mupya
Umetunukiwa cheti cha Upopoma bora wa JFDr.Slaa "Siasa ni sayansi"(1.9.2016),inashangaza Chadema ya Mashinji inavyodidimia.
Iyo laana Imkute na mwizi aliyeuza Nyumba zetu na aliyesimamia barabara zetu ambazo zimejengwa chini ya kiwangoKwa ufupi wanaotumia sukari kama silaha ya kivita kutesa wanyonge ,kilio cha wanyonge pekee kinatosha kuwamaliza wao na vizazi vyao.Vilio vya wanyonge mbele ya mwenyezi Mungu ni vingi kuliko hao mafisadi wachache na wapambe wao ambao wanaotumia unyonge wa wanyonge kuwaumiza.
Mungu awalaani wote wanaotumia silaha ya sukari wao na wapambe wao wawe wa kisiasa au vyovyote. Waugue magonjwa yasiyopona,na waugue migonjwa ambayo sukari hata hawataweza kuitumia,waugue migonjwa ambayo hayataki kitu chochote kitamu.Waishi maisha ya mahangaiko ya maradhi yasiyotibika.
Hata wapate mipesa mingi wasiifaidi wawe ni watu tu wa kuhangaika wakiugulia na kuzurura kutafuta tiba ambazo hazipo.
Hata vifo vyao na viwe vya mateso makubwa
Mzee Tupatupa kama unaweza hebu tupia hiyo habari hapa ikiwa imekamilika ili tuweze kuijadili kwa mapana. kauli hii ni nyeti na si jambo jema kuijadili kwa kutazama udhaifu wa Dk Slaa kama binadamu.Mwanasiasa 'huru' nchini, Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa sukari ikikosekana kwa wiki moja,Serikali yaweza kuangushwa. Katibu Mkuu huyo wa zamani wa CHADEMA aishiye nchini Canada kwasasa amesema sukari ni bidhaa muhimu.
Dr. Slaa alikuwa akizungumzia sakata la sukari linaloendelea nchini. Alizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mtanzania. Pasco upo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)
maccm Siku hizi MNA huruma na wanyonge??Kwa ufupi wanaotumia sukari kama silaha ya kivita kutesa wanyonge ,kilio cha wanyonge pekee kinatosha kuwamaliza wao na vizazi vyao.Vilio vya wanyonge mbele ya mwenyezi Mungu ni vingi kuliko hao mafisadi wachache na wapambe wao ambao wanaotumia unyonge wa wanyonge kuwaumiza.
Mungu awalaani wote wanaotumia silaha ya sukari wao na wapambe wao wawe wa kisiasa au vyovyote. Waugue magonjwa yasiyopona,na waugue migonjwa ambayo sukari hata hawataweza kuitumia,waugue migonjwa ambayo hayataki kitu chochote kitamu.Waishi maisha ya mahangaiko ya maradhi yasiyotibika.
Hata wapate mipesa mingi wasiifaidi wawe ni watu tu wa kuhangaika wakiugulia na kuzurura kutafuta tiba ambazo hazipo.
Hata vifo vyao na viwe vya mateso makubwa
Tunaweza kabisa kukaa hata miezi bila sukari, mbona wapo wasio tumia sukari kabisa hawaishi? AMEBUGI MEN!!Mwanasiasa 'huru' nchini, Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa sukari ikikosekana kwa wiki moja,Serikali yaweza kuangushwa. Katibu Mkuu huyo wa zamani wa CHADEMA aishiye nchini Canada kwasasa amesema sukari ni bidhaa muhimu.
Dr. Slaa alikuwa akizungumzia sakata la sukari linaloendelea nchini. Alizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mtanzania. Pasco upo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)
Dua la kukuKwa ufupi wanaotumia sukari kama silaha ya kivita kutesa wanyonge ,kilio cha wanyonge pekee kinatosha kuwamaliza wao na vizazi vyao.Vilio vya wanyonge mbele ya mwenyezi Mungu ni vingi kuliko hao mafisadi wachache na wapambe wao ambao wanaotumia unyonge wa wanyonge kuwaumiza.
Mungu awalaani wote wanaotumia silaha ya sukari wao na wapambe wao wawe wa kisiasa au vyovyote. Waugue magonjwa yasiyopona,na waugue migonjwa ambayo sukari hata hawataweza kuitumia,waugue migonjwa ambayo hayataki kitu chochote kitamu.Waishi maisha ya mahangaiko ya maradhi yasiyotibika.
Hata wapate mipesa mingi wasiifaidi wawe ni watu tu wa kuhangaika wakiugulia na kuzurura kutafuta tiba ambazo hazipo.
Hata vifo vyao na viwe vya mateso makubwa
Ina mbinu nyingi kweli! Kama hii mupya ya mifuko ya jamii kuanzisha viwanda vya sukari! Maajabu hayaishi, yaani badala ya NSSF kufahamika kama National Social Security Fund sasa iwe National social security fund and Sugar producer.Serikali ya magufuli haiwezi kushindwa jambo lazima itashinda jaribu hili.
Hakuna biashara halali Yenye faida kubwa kama sukari ndio maana inaendeshwa kimafia mafia duniani kote hakuna mfuko utaanguka kwa kuendesha biashara hii isipokuwa mpango huu utapigwa vipi sana na wanaojipatia faida na biashara hii hiyo ni golden chance wamepewaNimesikia kwenye magazeti anaagiza mifuko ya jamii ijiingize kwenye biashara ya sukari! Tafadhali mshaurini asiwatie katika matata wastaafu. Mifuko isijiingize katika biashara kichaa
Kwani Ushaukana Uraia wa Marekani?Natumaini hatutarudi kwenye enzi za uhujumu uchumi na ule upuuzi wa ugawaji.
Issue ya sukari ni rahisi sana kudeal nayo tena bila kutumia misuli mingiiiiiiiiiiiiiiiii.
1.Watoe RUZUKU kwa wakulima wa miwa.
2.Wapunguze KODI kwenye viwanda vyetu
3.Waongeze KODI kwenye SUKARI itakayoagizwa toka nje.
4.Kuongeza uzalishaji kama vile kununua mitambo mipya ya kisasa
Ukipunguza KODI ya sukari ya ndani na kuongeza kodi kwenye sukari ya nje huna haja ya kumfuatilia mfanyabiashara.SUkari yake itakuwa juu na haitanunuliwa kihivyo na automaticaly kupunguza uagizaji wa sukari[/QUOTE
NATAMANI RAIS APITE HAPA AONE USHAURI WAKO...Tunamuombea lakini, hakuna atakaemkwamisha ka makusudi.
Sidhani kama ni hiari yake ana furaha huko, mzee wetu yuko katika kifungo cha mapenzi. At one time nilikuwa namkubali sana huyu mzee nilikuwa na picha yake ofisini na kwenye gari, siamini kama hataki kurudi tutatue changamoto hizi pamoja maana uchaguzi umeisha na lazima maisha yaendelee
Uchaguzi wa Zanzibar sio jambo la muungano ni la Wazanzibari wenyewe mtajuana huko huko kwenu.Mimi ni mtanzania bara hayanihusu.na wanyonge wa zanzibar kilio chao alikisikia nani?
Dr.Slaa "Siasa ni sayansi"(1.9.2016),inashangaza Chadema ya Mashinji inavyodidimia.
Issue ya sukari ni rahisi sana kudeal nayo tena bila kutumia misuli mingiiiiiiiiiiiiiiiii.
1.Watoe RUZUKU kwa wakulima wa miwa.
2.Wapunguze KODI kwenye viwanda vyetu
3.Waongeze KODI kwenye SUKARI itakayoagizwa toka nje.
4.Kuongeza uzalishaji kama vile kununua mitambo mipya ya kisasa
Ukipunguza KODI ya sukari ya ndani na kuongeza kodi kwenye sukari ya nje huna haja ya kumfuatilia mfanyabiashara.SUkari yake itakuwa juu na haitanunuliwa kihivyo na automaticaly kupunguza uagizaji wa sukari