Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Mkuu huyu mzee naona anachekesha sana hivi leo bado anawaza urais kweli lakuvunda halina ubani hivi kweli hajitambui kuwa kachuja kama nguo za rangi.

Amekwambia hagombei wewe unakurupuka unasema anawaza urais. Mtu asiyetaka kugombea atawazaje tena urais? Una akili timamu wewe au akili zipo kwenye mlango wako wa kutolea kinyesi?
 
Tukumbuke hata 2010 dr. Slaa hakupenda kugombea urais bali alipendekezwa na chama chake!kiongozi yeyote makini na anayefaa hupendekezwa na watu wenyewe..na si kukimbilia madaraka.hongera dr..maoni yangu ni kuwa bado ungetufaa sana 2015 kama uzima utakuwepo.Mungu akulinde wakati wote!

Alipendekezwa na mbowe sio CHADEMA
 
Kauli ya Dr Slaa imejenga mshikamano zaidi ndani ya UKAWA. Hapo ndio utaona Slaa ni kiongozi wa namna gani hapa Tanzania ukimtofautisha na wale walioko katika chama kilichokosa mwelekeo cha CCM. Kumbe zile kauli kuwa Slaa huwezi kumuweka kundi moja na wakuu wa CCM Zina ukweli.
View attachment 164355
Hapa Mwenyekiti wa CCM na rais wa JMT akitumia muda wa ziara yake nje ya nchi kujifunza michezo ya watoto.
View attachment 164359
Hapa napo Katibu mkuu wa CCM afurahishwa na ubunifu wa mtoto katika kuunda gari katika ziara zake.
View attachment 164362
Katibu mkuu wa Chadema akisimdikizwa kwenda kutoa mhadhara katika chuo Kikuu kimoja huko Marekani. Hii ilikuwa katika ziara zake za kujifunza na kufunza wengine kuhusu Africa na utawala.


Kwa picha hizo hapo juu tunapata walao kidogo kuona tofauti ya muono wa viongoI hao.


Sent from my iPad using JamiiForums
Hicho chuo hakina jina?
 
Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya kitaifa ni lini?

Pia napendelea Dr.Slaa agombee urais 2015 maana hawa wakina Mbatia na Lipumba siwaamini kabisa.
 
Labda Zitto Kabwe lakini sio Mbowe Slaa wala Lipumba wanaofaa kushika Nchi
 
Kikwete aliiba kura za urais na ubunge? Mbona mliambulia wabunge 23 tu? hata Slaa angeshinda urais angewezaje ku-survive na wabunge 23? Uongo mwingine hata haufanani na ukweli.

Swali lako la kwanza ndilo jibu lenyewe.
 
Jamani mambo mengine hayahitaji darasa, padre naona kachanganya maombi na akili zake majawabu yakawa negative .
Dr slaa + urais==kura kiduchu +kukosa miposho ya ubunge
 
Hata
akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni
matapeli wa kisiasa.

Watanzania wenye akili timamu wameshatambua kuwa CCM ni genge la majizi
ambayo yakiendelea kubaki madarakani yatazidi kuizamisha nchi kwenye lindi
la umasikini hivyo wameamua kuiondosha ccm madarakani 2015 bila kujali
itikadi za vyama. Taifa kwanza vyama baadae. Ole wenu mafisadi na vijibwa vyenu lazima mtalipa udhalimu mliowatendea Watanzania
 

Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa



DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka,kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.



Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.


UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais,serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.


Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."


Chanzo:Mtanzania Juni 11-2014


My take😀r slaa ni kiongozi mtiifu


Yaani hapo alipo sema hafikirii kugombea katika UKAWA nadhani anatudanyanya anajaribu kuonyesha kuwa chadema eti hawana tamaa ya madaraka
 
Yaani hapo alipo sema
hafikirii kugombea katika UKAWA nadhani anatudanyanya anajaribu
kuonyesha kuwa chadema eti hawana tamaa ya madaraka

Manyani hamuelewi lugha ya wanadamu ndiyo maana hujamuelewa Dr. Slaa.
 
CCM hadi sasa hivi hawajapata mgombea, nyepesi nyepesi ni kuwa yule jamaa wa ukaguzi wa ilani anayezunguka nchi nzima kumbe naye anautaka - Lazima watoboane ugali mwakani.
 
Lakini alimuenyesha mbaya JK mpaka anamsalimia shikamoo Dr. Wa ukweli
 
Lakini alimuenyesha mbaya JK mpaka anamsalimia shikamoo Dr. Wa ukweli
mkuu hivi ulishasikia kauli yoyote ya JK kumkandia DR??? kabla au hata baada ya Matokeo ya Uchaguzi 2010?

Tafakari... JK anaona mbali sana.
 
Back
Top Bottom