Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?
Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.
Alipewa dakika ngapi na Gavana?
Kauli yako inaonyesha ni ya wivu wa kike zaidi,kuliko kuonyesha uGT wako'
Hii ndio maana tunaoitakia mema nchi hii tunalikemea kwa nguvu zote na kwa sauti kali kabisa, Dr Slaa akishindwa kumdhibiti huyu mwanamke aliyepungukiwa adabu basi na yeye akae pembeni atupishe hatuitaji mdhaha kwenye hili.
[/CENTER]
Mijitu mingine kwa kuzuwa, mpaka inachafuwa. Hicho chakula kiko wapi hapo? au hayo makaratasi ndio chakula?
There was no point bragging about "resources"!! There was no point of using your uncontrolled emotions!Unajuwa wewe ni mjinga sana tena sana akili haifikii hata ubongo wa kuku.
Hivi mimi nimchukie au nimwonee wivu Josephine kwa lipi hasa? Hivi una ufahamu wowote mimi nimetumia resource zangu ngapi kuhakikisha Chadema inashika dola?
Kwa akili yako ya kijinga wale Wachina wakienda kule Marekani huwa wamwaga ung'eng'e tu? Kingereza wanaongea mpaka machokoraa wewe ndio umeona sifa ya kumpachika Josephine! !
Ptuuuuuuuuuuu.
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!
Kwa hiyo makaratasi hayo ndio chakula? hapo hata Gavana kakwepa baada ya kuwapa dakika tatu za kusalimiana ofisini kwake.
Hivi uongo unawasaidia nini?
Jk anakwenda kwa ajili ya watanzania sasa slaa analipi jipya kama sio kufilisi chama chake na kutumia kodi zetu vibaya?
Huyu????Hapa unataka MWIGULU APATE PRESHA yeye na WASIRA na NAPE..
Kule Jamaica alikokwenda kuning'inia kwenye bembea kama MTOTO WA SHULE YA CHEKECHEA alikuwakilisha wewe hakuniwakilisha mimi!!?
Hivi William Malechela bado anapiga box? hahahahhahahahHizi ndio ziara za viongozi, sio zile eti za kufunika kumbe mtu kajaza wabeba mabox
Faiza Fox: Hii ni ndogo sana kwako ku-comment negatively. Hata kama huwapendi CDM kiasi hicho hebu jaribu na uungwana kidogo. Appreciate mahali panapostahili na kisha toa constructive criticisms. Mimi nadhani unaweza kufanya vizuri zaidi ya comments hizo
Faiza, unaweza kusema mengi lakini ukweli ambao huwezi kuukwepa ni kuwa kuna tofauti kubwa kati ya safari aliyoifanya Mwigulu na Dr. Slaa. Hii safari ya Dr. ukiitazama kiundani ilijielekeza zaidi katika elimu, tekinolojia na uchumi lakini safari ya Mwigulu ilikaa kiupambe wa kisiasa. Hapo kuna tofauti kubwa sana katika vision.
Japo Dr. Slaa siyo kiongozi wa kiserikali lakini mtazamo wa safari yake umekaa kitaifa na kiuongozi zaidi kuliko safari ya Mwigulu.
Unaona mpaka wanakata kiu alafu unasema alipewa dakika ngapi? Una hangover ya madafu?Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?
Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.
Alipewa dakika ngapi na Gavana?
Najiuliza,mda wote wa mazungumzo alikua kimya au alichangia point?
Kama alichangia,ali changia kama nani?
[/CENTER]
Mijitu mingine kwa kuzuwa, mpaka inachafuwa. Hicho chakula kiko wapi hapo? au hayo makaratasi ndio chakula?