Naona wanapiga mnada wa kuuza picha ya Dr Slaa. Wamefikia hadi laki 3, bado watu wanaendelea kupanda bei. Naona mayor ametoa laki 340,000 kununua picha. Naona watu mbalimbali wanachangia, dhumuni la michango hii naambiwa hapa ni kununua kiwanja na kujenga ofisi za tawi la SAUT. Wakuu ngoja nikanywe maji nitarudi.
...samahani kwa kukuita "mkuu"...nia yangu ili kuwa ni kujaribu kukuomba ujaribu kupunguza ukali wa maneno unayotumia ili heshima ya JF isishuke...humu JF wanapita watu wa kila aina wakubwa kwa wadogo,tukieendelea hivi itafika wakati kujitambulisha kama mwana JF itakuwa aibu,tustahimiliane,tushindane kwa hoja ili na wadogo zetu wanaopita humu wapate mazuri ya kujifunza...
...ok...Pamoja sana.....tuendelee kufuatilia updates.
Chadema ni tumaini jipya la watanzania..binafsi nikihudhuria mikutana ya chadema huwa najihisi kama cku zangu za kuishi zinaongezeka maana huwa napata matumaini na ujasiri..VIVA CHADEMA!
Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.Katibu mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa muda huu anaunguruma katika viwanja Kabuoro maeneo ya Kirumba Mwanza.Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mwanza kuna umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa Mwanza.
Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.[/QU nani chama nani majungu
Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.[/QU nani chama nani majungu
Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.
Nani chama nani majungu¥Umenisoma?Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.[/QU nani chama nani majungu