AIR MISSILE 2015
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 524
- 418
Kule Heche, huko Mbowe, pale Salmu Mwalimu, hapo Mbatia, huku Lipumba na sasa Rais wa awamu ya 5 wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. W. Peter Slaa!! Hakika MUNGU AWAONGOZE!! Ndani yenu dhamira ya kumkomboa mtanzania inajidhihirisha!!
Tukutane October!!
Tukutane October!!