Dr. Slaa ndani ya Morogoro tarehe 25 Aprili, 2015

Dr. Slaa ndani ya Morogoro tarehe 25 Aprili, 2015

CHADEMA kweli imedhamiria kukamata Dola Oct, inashambulia Kwa pamoja na kulinda goli Kwa pamoja, Magamba kazi mnayo mwaka huu.
 
Kama kweli umechukizwa na wizi madharau na madaraka ya kurithishana ya CCM usinge kuwa unaishangilia ACT na kama hutaki basi unataka manyanyaso ya ccm yaendelee hebu piga picha huko nyuma chadema ilianza kufichua siri za ccm toka lini halafu we unasema unataka mabadiliko kwa kupitia ACT-wazalendo itakuwa Leo kweli labda kwaajili ya vijukuu vyako 2035 huko labda kumbuka Mimi na we tutakuwa wapi
 
jamani hii sasa sifa, upande ule wa pili c watakufa, kwa style hii hata hiyo fire brigade, itazima vipi huu moto, kwani mwanza, ukianza kuzimika, unawashwa, musoma, musoma wakianza kuzima unaibuka bariadi, wanafika bariadi, mala tunduma, heee mala singida, hujakaa vizuri wanawasha lile linaloitwa LI JIMOTO, huko morogoro!!! kwanini mnawafanyia hivyo watoto wa wenzenu. Nasema HII SASA SIFA!!!
 
Hebu mwambie Zitto aiseme chadema jukwaani kama hajashushwa na mawe ya wananchi wanaotaka mabadiliko
 
Hebu mwambie Zitto aiseme chadema jukwaani kama hajashushwa na mawe ya wananchi wanaotaka mabadiliko

hatuwezi kuongelea saccos kwasababu wananchi hawaitaji kukopa kwa riba wanaitaji kuwezeshwa ni kawaida ya chadema kutishia wananchi ila hamuwezi kuchukua utashi wetu october mtatujua tutaeshimiana tu humu ndani
 
Hivi raisi unaulizwa kwanini nchi yako ni maskini hujui chakusema unaanza kusema you know you know nini sema!!
 
Kweli cdm raha sasa tuanze tu michango watu wako kazini hasa. Ebu tukimbushane kuchanga kwa mpesa
 
Kwa utaratibu huu wa cdm wa kufanya kazi kama taasisi, nimewavulia kofia. I salute u guys! Is a good move, chama ni mikutano. Pia nendeni na vijijini. Hongereni morogoro!
 
Wanaukumbi,

Kesho kutakua na mkutano mkubwa Morogoro Mjini ukiongozwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA.

Karibuni wote
.

Wewe nawe sijui nikutukane? Sasa mkutano utafanyikia uwanja gani? Muda pia hujayuwekea sasa tukueleweje?
 
Si mlisema Ruzuku wanakula wachaga leo povu nilanini?

Usidanganyike kwamba kinachotumika hapa ni ruzuku,
Ruzuku ilishariwa unaotumika hapa ni mkopo, tena wa riba kubwa.
Kwa nia nzuri tu ungehoji je hii ni pesa ya ruzuku kweli?
 
Back
Top Bottom