Dr. Slaa ndani ya Morogoro tarehe 25 Aprili, 2015

Dr. Slaa ndani ya Morogoro tarehe 25 Aprili, 2015

Nyinyi msilete vitu vya kuchekesha hapa. Hivi lichama Giant kama ccm nao wakiorodhesha unadhani hapa patatosha. Chama kimekaa miaka zaidi ya 50 tangu enzi za Tanu mpaka leo unafananisha na chama kilichoundwa mwaka 1992. Hahahha.ushabiki bwana hatari kwa maendeleo ya nchi. Na tena kati ya hao hao uliowataja wengi bado wana kadi za ccm. Wakiongozwa na daktari wao mkuu wa mambo ya dini .siasa ni kitu cha ajabu

Mkuu,
Walioorodheshwa wote ktk Team CDM wote wanapendwa na wana mvuto wa kufanya mkutano mkubwa popote Tanzania hii.
Ndani ya CCM wanaoweza kusambaa Tanzania hii na kufanya mikutano kwa maana ya kuwavutia wananchi kuudhuria mikutano ni wachache mno.
Hebu jaribu tu kupanga Team CCM Vs hiyo Team CDM uone kama utawapata.
Tafakari mkuu
 
Wadau aliye na taarifa za hivi karibun kuhusu askofu Gwajima na Pengo atusaidie kwn huyu askofu anamakuu kuhusu ccm na alisema polisi wakiendelea kumsumbua atalipuka

Mkuu,
Anzisha uzi mpya kuhusu hii hoja yako, other wise unachanganya mada hapa.
 
Back
Top Bottom