Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Toka lini umeona Mpango wa Mungu ukajifananisha na fisi?Mabandiko yako hapa jukwaani yanaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwani!
Leo hii ujifananishe na nani ndani ya CCM?
Toka lini umeona Mpango wa Mungu ukajifananisha na fisi?Mabandiko yako hapa jukwaani yanaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwani!
Leo hii ujifananishe na nani ndani ya CCM?
fisi wameumbwa na nani?toka lini umeona mpango wa mungu ukajifananisha na fisi?
Haya...BABU ana AGENDA ipi mpya zaidi ya kusema Zitto ndio adui yao namba moja?
Tunaomba kujua venue.. nina coaster zangu nne zimekodiwa kutoka mikese kwenda mkutanoni....
Nikakuwa kwenye Msafari nitaleta Live update stay tune
nimeskia wametangaza ktk viwanja vya shule ya msing kyandege nafkir,, itakua karibu na sabasaba