Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
kazi kwao ACTCCM wao wanamwaga uchafu sisi tunafagia kote walikopita.
Mungu yupo na watetezi wa wanyonge cdm
kazi kwao ACTCCM wao wanamwaga uchafu sisi tunafagia kote walikopita.
huyo anayezunguka nchi nzima peke yake atalijua jiji mwaka huu.
huyo anayezunguka nchi nzima peke yake atalijua jiji mwaka huu.
Zaidi ya kumsema Zitto ana ajenda ipi mpya?
Haya...BABU ana AGENDA ipi mpya zaidi ya kusema Zitto ndio adui yao namba moja?AJENDA ndo nini wewe fisi
Nitakuja na live update utaficha wapi uso wakoHaya...BABU ana AGENDA ipi mpya zaidi ya kusema Zitto ndio adui yao namba moja?
Nifiche uso wangu kwa ajili ya nini? Hivi wewe akili zako huwa ni timamu kweli? Ulete live updates halafu mimi mwanachama wa CCM inayoongoza nchi miaka 200 ijayo nifiche uso? Nina mashaka na upeo wako!Nitakuja na live update utaficha wapi uso wako
Lazima ufiche kwa haya maongezi yako yakijinga hapa, anavyowaumbua mafisadi lazima muombe poo huna ujanja wewe ChooNifiche uso wangu kwa ajili ya nini? Hivi wewe akili zako huwa ni timamu kweli? Ulete live updates halafu mimi mwanachama wa CCM inayoongoza nchi miaka 200 ijayo nifiche uso? Nina mashaka na upeo wako!
BABU kwangu ni mtu wa kawaida sana, sijawahi kumuona mtu wa maana hata siku moja!
Upeo wangu kamulize Mzee wa upara aka Pembe Man anaujua maana anaumbuka kule nilipopitaNifiche uso wangu kwa ajili ya nini? Hivi wewe akili zako huwa ni timamu kweli? Ulete live updates halafu mimi mwanachama wa CCM inayoongoza nchi miaka 200 ijayo nifiche uso? Nina mashaka na upeo wako!
BABU kwangu ni mtu wa kawaida sana, sijawahi kumuona mtu wa maana hata siku moja!
Mabandiko yako hapa jukwaani yanaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwani!Upeo wangu kamulize Mzee wa upara aka Pembe Man anaujua maana anaumbuka kule nilipopita
hii staili chadema wamekuja nayo ni noma sana nafikiri watani zetu ccm hawawezi kupata usingizi kabisa
Ndio Maana nimekwambia kamulize Futuhi Man ananijua huko apitako siongei kwa maneno kwa vitendo piaMabandiko yako hapa jukwaani yanaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwani!
Leo hii ujifananishe na nani ndani ya CCM?
Si mlisema Ruzuku wanakula wachaga leo povu nilanini?Mbona hakuna Anayeuliza pesa ya kugawa vikosi karibu vinne nchi nzima zinatoka wapi?
Mkijaambiwa chama kinadaiwa tena kwa riba msihamaki .