Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

A confident leader. Kusikilizwa na ulimwengu si suala dogo
 
Kwako wewe breaking ni pale vasco DG anapotumia hela za kodi kulilia kukutana na Silo au Dempsey ili apige nao picha na akawaongopee jamaa bongo ?
Hizi breaking news nyingine ni dalili ya Chadema kuishiwa hoja...

What is breaking about this news...
 

Lizaboni kama mwana jukwaa na mwenye bidii ya kujibu kila uzi humu, naomba nichukue nafasi hii kukuomba kama Mtanzania mwenzako kuwa acha kudhalilisha watu wanaokuzidi umri, hekima na busara, dr slaa ni kiongozi kama alivyo mwenyekiti wa chama chako, tukiamua kumkosea heshima hatakuwa na pakukimbilia ila tunamsitahi na kumuheshimu na wala hatuongelei familia yake wala watoto wake, kuna watu humu wanayajua mengi ila kwa vile hatujadili watu tunajikita zaidi kwenye hoja ndo maana chama chetu kinazidi kupendwa kila uchwao:

Naona kila uzi unamtusi tu kiongozi wetu bila sababu za msingi, najua mods wako humu kuangalia kama tunakeuka kanuni na taratibu za JF ila mie siko hapa kuwaomba wao wakuwajibishe bali naomba uwe mwelevu walau kidogo, najua unatetea chama chako kwa hali na mali ila usitete chama chako kwa kuwakajeli viongozi au kuwatukana viongozi wa chama unachopingana nacho, kuna kipindi mh mbowe alisema "chadema haitaki siasa za maji taka maana tunazijua sana ila inajali hekima na busara kwa viongozi waandamizi wa serikali japo tunayajua yao mengi tu"

Kuna kipinda mzee makamba alituma watu kwenda kumtafuta mtalaka wa bi-Josephine ili tu kumuambisha dr slaa na kesi ikafunguliwa mahakamani ila bi-josephine akashinda.

Hizi siasa za kutukana watu na kuvunjia viongozi wetu heshima mmekuwa mkizifanya kwa mda mrefu sasa,upo wewe Lizaboni,hammyD, the marcopollo, ritz, mwigu, nape, kigwangalla, wairema, job, wassira, lusinde, lukuvi, na wengine wengi na tunawavumilia sana ila mnaiua ccm kwa kasi ya ajabu, sina hira na wewe ila jirekebishe tu ili tusaidiane kulijenga taifa letu kwani ccm au chadema inaweza kufa mda wowote ila Taifa la Tanzania litabaki milele na milele:
Mungu akubariki sana, asante kwa ushirikiano wako
 

Slaa ndiye aliyeanzisha siasa za matusi. Mara kadhaa hapa JF amekuwa akimuita Rais wa nchi yetu Mr. Dhaifu. Kwa umri wake, Slaa hapaswi kabisa kutumia lugha za kihuni. Of course hizi lugha amefundishwa na Josephine, lakini matokeo yake yanawagusa wengi.

Wewe kama ni mpenda lugha safi, kwanza kabisa mkemee Slaa anapoandika lugha za kihuni. Juzi alisema JF ni jukwaa la umbea na majungu. Kutukana jitihada za JF wamiliki na wasimamizi wa JF wanaotumia vipaji vyao kuwaunganisha watanzania katika mijadala mbalimbali ni jambo lisilofaa ambalo ili Slaa aendelee kuheshimika hapa jukwaani anatakiwa kuomba radhi.

Jipime nia yako. Kama una nia njema, utagundua kuwa tatizo ni Slaa mwenyewe.

Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
 

Ni maneno ya busara sana......wenye akili timamu watakuunga mkono.
 

Mkuu Dhaifu sio tusi and you know that, nachoongelea hapa ni swala la kuiingia ndani ya familia ya dr slaa na kuanza kuiongelea as a topic while hoja sio familia,inafikia hatua mpk mtoto mdogo jr mnamdiscuss hii ni haki kweli? Huyu mtoto anadhambi gani kwenu? Ama atajitetea wapi mkuu?
Ujumbe wako nimeuelewa na bahati nzr dr ni mwenyeji hapa so, ujumbe wako atausoma na mapungufu atayafanyia kazi:

Pia na ww fanyia kazi ombi langu, from there tunaweza endesha siasa zenye afya kwa taifa letu na vizazi vijavyo
 
Kibabu kimenogewa na mambo ya Mashumbusi kwi kwiiiiiiiiiih.
 


Mkuu, hawa wasikupe shida sie tulishawazoea tu. kazi ni moja tunatoa elimu kwa raia wao wamebaki na matusi yao.. Tutakutana nao 2015 katika sanduku la kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…