Mkuu Ritz upaelewe ili iweje utume watu wako wa kulimboka????Elezea vizuri sio kila mtu anapajua Kinampanda.
Kumbe mkuu hivyo ni viwanja vyako????pamoja makamanda,piteni hapo kinampanda madukani mwambieni rajabu dukani hapo awape timu nzima ya m4c soda nitalipa,kama vipi mpite na pale mbele kwa alex au kwa mzee makalla mpate ugali.
mmenifurahisha sana.
kamanda vipi chuo cha ualimu na tumaini secondary hapo wanapokea vipi m4c,salimieni hapo jirani kwa mh mbunge wa zamani.
Utabiri?2015 nchemba ataondolewa na matusi yake.utadhani jamaa alisomea degree ya matusi bwana,mi huwa ananiboa sana.
kamanda hapo vilikuwa viwanja vjangu miaka ya 89,90 na 2008-2010.Kumbe mkuu hivyo ni viwanja vyako????
Akili zako zina alama kama avator yako so we cannot blame you hakikaHawajafika mpaka sasa wananchi wamekasirika hasa baada ya tetesi kuwa slaa hatakuja kutoka na kesi yake ya ndoa inayomkabili. Wananchi wamesubiri tangu saa nne kulikuwa na mikutano miwili leo. Wabunge tulioambiwa watakuja badala ya slaa hawajafika , hii kashfa kwa nini hawatoi taarifa
Hawajafika mpaka sasa wananchi wamekasirika hasa baada ya tetesi kuwa slaa hatakuja kutoka na kesi yake ya ndoa inayomkabili. Wananchi wamesubiri tangu saa nne kulikuwa na mikutano miwili leo. Wabunge tulioambiwa watakuja badala ya slaa hawajafika , hii kashfa kwa nini hawatoi taarifa
Hawajafika mpaka sasa wananchi wamekasirika hasa baada ya tetesi kuwa slaa hatakuja kutoka na kesi yake ya ndoa inayomkabili. Wananchi wamesubiri tangu saa nne kulikuwa na mikutano miwili leo. Wabunge tulioambiwa watakuja badala ya slaa hawajafika , hii kashfa kwa nini hawatoi taarifa
Makamanda wapitishe mchango wa kumsaidia shangazi yake Mwigulu yule mwenye maradhi ya ukoma aliye telekezwa na Mwigulu pale kambi ya Sukamahela.Kijana pamoja na kujiita 1st class Economist na waziri wa fedha wa CCM bado ana mnyanyapaa shangaziye kwa maradhi ya ukoma? Kweli ana laana.