Dr Slaa ndani Kinampanda

Leo saa saba kamili timu
chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni
mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani
tuko ndani ya kinampanda

Tuko pamoja kiroho makamanda wetu...huku tuaendelea kuwarushia visenti kwa m pesa!
 
Kule Chadema watakula za uso tu,, Iramba hawataki vyama vinavyochochea vurugu na uvunjifu wa amani. wamezoea kuishi kwa upendo

Uzuri ni kwamba nilikuwa Iramba majuzi na niliona walivyo na shida wengi walisema Chemba never went back na madume yakawa yanasema wasi wasi wao juu ya mwenendo wa tabia ya Mbunge wao .Hakika watu ni masikini sana na shida ni nyingi na hasa basic needs ni issue sana ,maji ,shule na jamaa yeye kakazana na scarf shingoni mjini.
 
Kule Chadema watakula za uso tu,, Iramba hawataki vyama vinavyochochea vurugu na uvunjifu wa amani. wamezoea kuishi kwa upendo

Igunga milisema hivi x2 mkaishia kutokoe tundu la sindano....kumbuka watz wa leo sio wa TANU yajenga nchi
 
Hawajafika mpaka sasa wananchi wamekasirika hasa baada ya tetesi kuwa slaa hatakuja kutoka na kesi yake ya ndoa inayomkabili. Wananchi wamesubiri tangu saa nne kulikuwa na mikutano miwili leo. Wabunge tulioambiwa watakuja badala ya slaa hawajafika , hii kashfa kwa nini hawatoi taarifa
 
Wametoa taarifa bado wapo singida mjini mkutano utaanza saa kumi na watu hawajakasirika wanasubiri
 
Elezea vizuri sio kila mtu anapajua Kinampanda.

offcourse ulivo kilaza na kulewa umagamba sitarajii kama una uwezo wa kuelewa jiografia ya std 1 ya kujua ilipo Kinampanda au mkoa Singida!
 
pamoja makamanda,piteni hapo kinampanda madukani mwambieni rajabu dukani hapo awape timu nzima ya m4c soda nitalipa,kama vipi mpite na pale mbele kwa alex au kwa mzee makalla mpate ugali.
mmenifurahisha sana.
kamanda vipi chuo cha ualimu na tumaini secondary hapo wanapokea vipi m4c,salimieni hapo jirani kwa mh mbunge wa zamani.
 
Kule Chadema watakula za uso tu,, Iramba hawataki vyama vinavyochochea vurugu na uvunjifu wa amani. wamezoea kuishi kwa upendo
Hapo kwenye rangi nyekundu ungebadirisha na kuwa .......Wamezoea kuishi na umaskini!
 
Back
Top Bottom