Dr. Slaa: Natishwa

aongezewe walinzi la sivyo maccm yatamteka au kumua alafu waseme ni ukawa
 
Huyu jamaa swala lake lisipofanyiwa kazi haraka atakuwa mwiba kwa ukawa. Kinachoshangaza hata kama kweli source ni hayo magzt ya mrengo fulani mbona asijitokeze kupinga hadharani. Ni bora ukawa iamue either kumwondoa kabisa na kubadili mindset kuwa tunaweza hata bila slaa. Au kama bado ni mwanachama basi akubaliane na maoni ya wengi ndani ya chama. Lengo kubwa ni ushindi kwanza tofauti zingine ndogondogo kati ya mtu na mtu ni kuzitatua pembeni.
 
Dr. Hawez kufanya ujinga huo. Hilo gazeti la ccm linaweweseka. Mlisema Lissu, Mnyika, Baregu pia wamehama leo yako wapi? Siku atakaporejea tutawavalisha niqabu ili mfiche sura zenu.

Ndugu nakuunga mkono akirudi mtafanya hivyo, lakini hiyo niqab nyie ndio ilikuwa muanze kiva kwa kuwapokea wale mafisadi mliokuwa mkiwatukana. Hilo zoezi lazima lianze kwenu
 
Mnacheza ngoma msioijua, punguzeni mbwembwe! Haiwezekani RAIA Tanzania wapate press conference ya wao peke yao! Kuondoka Kwa Dr Slaa, haihitaji uchunguzi ni kila chombo cha Habari kitatatoa habari hiyo! Propaganda machine at work!
Yaani mtu hata huoni tofauti Kati ya majina Raia Tanzania na Raia Mwema kwamba ni magazeti mawili tofauti halafu unabwatuka hovyo! Watu wengine kwa ujinga hadi mnaudhi. Hivi kweli mnadhani jenerali ulimwengu anaweza kuandika huo upuuzi!
 
Last edited by a moderator:
Dk amesema anatishwa yeye na familia yake. Akielezea amezidi kusema kama ni mapenzi ya mungu yatimizwe mm sitang"ang'ania.
Source: Rfa magazeti./RAIA TANZANIA.
Nafurahishwa na jinsi Dr Slaa alivyogeuka ghafla Kuwa kipenzi cha ccm na wana ccm,najiuliza ikitokea chadema wakampitisha kugombea urais mnapenz haya yataendelea ?au kwa uroho wa madaraka mliona atarudi Kuwa adui
 
Huu ni wakati wa kuung'oa mfumo uliopo ambao ndio unaokuza ufisadi wa viongozi na kuongeza shida kwa wananchi.

Kila jitihada inahitajika hapa. Kama Dk ana likizo fupi sawa ila kama amesusa kwa hasira za kutokuwa mgombea basi abadilike ajitokeze na aonyeshe ana uchungu wa kutosha na nchi hii, na si kutaka urais tu.

Sijui magazeti ya Raia Tanzania yakoje. Yanajiaibisha sana. Hivi Jenerali amekuwa hivi? Sitaki kuamini, ila macho yanaona.
 
Dr slaa nilishawai mpigia kura yangu then ila saivi nampigia kura yangu lowassa hii ni siasa no permanent candidate. Chamsingi ni kuiondoa ccm kwanza mengine baadaye
 
Dk amesema anatishwa yeye na familia yake. Akielezea amezidi kusema kama ni mapenzi ya mungu yatimizwe mm sitang"ang'ania.
Source: Rfa magazeti./RAIA TANZANIA.

Raia Tanzania hilo nalo ni gazeti?siku hizi tumesha liweka kwenye vijarida sawa na Uhuru,mzalendo,jambo leo na tazama
 
Raia Tanzania ni kijalida cha ccm! Ingawa mmiliki ni jenerali Ulimwengu lkn nashangaa saaanaa

Atajuta kuwatumikia magamba maana watu tumeshaamua kuvisusia vijarida chochezi kama hivyo,waanze kuwapigia magoti wauza maandazi na vitumbua
 
Back
Top Bottom