Dr. Slaa: Natishwa

Dr. Slaa: Natishwa

Makongoro kama anaona au anao ushahidi kuwa E.L ni fisadi aende mahakamani....yeye hajiulizi ni kwa nini Chadema iliposema hivo haijawahi kwenda mahakamani hata siku moja? Think globally and act locally.
 
Ushauri alioutoa ni wa Kikada zaidi kuliko ki fact; Dr. Slaa ameacha siasa (kama ni kweli lakini) eti aje ccm, sasa kilicho mfanya aache siasa ni nini na kwanini tena aende ccm!? Contradictions!!!!!!
 
Huyo ni mtoto mdogo, obviously hata akili zake ni ndogo.

Mkuu achana nae wala usipate shida sana,sababu unapokuwa unaoga halafu kichaa akaja kukuibia nguo zako na wewe ukaanza kumkimbiza watu hawatakuelewa. Huyu jamaa nilishampuuza siku nyingi sana kwenye ile ID yake iliyopo lupango kwa sababu ya mdomo wake mchafu na kujifanya yeye much know sana.
 
Huyo ni mtoto mdogo, obviously hata akili zake ni ndogo.

Usipambane na hao majuha wengine nataka ile vita yangu na wewe iendelee humu. Vipi bado hujakusanya huo ushahidi wako uliowaaminisha wajinga wenzio humu jana? Ulizani mimi ni ----- kama wewe? Tena nimekutafuta na umeingia ktk 18 zangu sasa nakutaka ulianzishe tu kisha nibonyeze kitufe changu cha cyber war na wewe humu ili nikutie aibu vizuri kama nilivyomtia adabu dada yenu mmoja humu ambaye sasa hataki hata kunisikia na hata hizi posts zangu najua anaziona na haya ninayoyaandika anayasadiki. Aliingia kichwa kichwa na nikampa alichokitaka na hadi kumtoa nishai na sasa katulia tuli na sasa umejitokeza " simbilizi " wewe. Unajifanya unanijua sana huku mkeo watu wanakukanyagia tu 0713 hapo kijitonyama nyuma ya hiyo Sheli kubwa hapo. Tena utulie hivyo hivyo usije ukanichefua na nikakinukisha humu uaibike. Endelea tu kunifuata fuata.
 
Mkuu achana nae wala usipate shida sana,sababu unapokuwa unaoga halafu kichaa akaja kukuibia nguo zako na wewe ukaanza kumkimbiza watu hawatakuelewa. Huyu jamaa nilishampuuza siku nyingi sana kwenye ile ID yake iliyopo lupango kwa sababu ya mdomo wake mchafu na kujifanya yeye much know sana.

Kumbe siku nyingi umeshanipuuza sasa unachohangaika na mimi ni nini? Na kuwa much know ni sifa yangu kubwa kwahiyo wewe unasemaje? Kwahiyo ulitaka na mimi niwe " mbwigiri " na " simbilizi " kama wewe na huyo basha wako Mussolin5? Kumbe wafu mnajuana?
 
Last edited by a moderator:
Nilishakupuuzaga siku nyingi sana tangu kwenye ile ID yako nyingine iliyopo Lupango.

Hiyo id nyingine labda ni ya aliyekuzaa na huo " usimbilizi " wako ulionao lakini ninavyojua mimi humu nina id moja tu na hii hii ya La Brujita period.
 
Hii ni account feki, wanajamvii ipuuzeni tu! Haya tunasubiri mtoe singo nyingine....
baada ya post hii nilitoa angalizo kama sio verified account ya slaa mods waiondoe kabisa na sio hata kuja kui-merge humu. sina mawazo hayo uliyonayo. wengine tunabaki kwenye uhalisia. propaganda tunawaachia nyie.
 
Back
Top Bottom