Dr. Slaa: Natishwa

Dr. Slaa: Natishwa

Hivi hilo gazeti linamilikiwa na gamba gani?

Mkuu hata mimi nashangaa maana kila habari ya uongo kuhusu UKAWA Dr. Slaa imeandikwa na haka kagazeti. Sielewi mchango mpya wa sheria mpya ya mtandao kwa nini haiingilii upoyoyo kama huu unaopotosha umma.
 
Raia Tanzania liliyumba sana kimapato mwanzoni mwa mwaka huu, naona kupitia slaa mapato yataongezeka.
 
Mkuu hata mimi nashangaa maana kila habari ya uongo kuhusu UKAWA Dr. Slaa imeandikwa na haka kagazeti. Sielewi mchango mpya wa sheria mpya ya mtandao kwa nini haiingilii upoyoyo kama huu unaopotosha umma.

Dawa yao tayari watajuta kuwatumikia ccm,hicho kijarida kitakuwa kinafunga dimba kwenye meza za magazeti
 
Mkuu source ni kijarida cha Raia Tanzania wala si RFA magazeti.

wewe wasema. Kuweni wavumilivu na mkomae kisiasa,mbona wapo walohama vyama mbalimbali na hawatishwi? Yawaje leo hii Dr. Slaa kukaa kwake kimyj mnaanza kumtisha? Mmesema yeye si chochote ktk chama mbona mnamfuatafuata?
 
Dr anakazi nyingi na muhimu za kufanya hawezi poteza muda wake kujibu propaganda za Lumumba tena za kijinga
 
Dk amesema anatishwa yeye na familia yake. Akielezea amezidi kusema kama ni mapenzi ya mungu yatimizwe mm sitang"ang'ania.
Source: Rfa magazeti./RAIA TANZANIA.
Vipi umegundua njia pekee ya kusalimika kushinda ni Dr. Slaa atoke chadema maana na shangaa makada wote wa ccm ndio wako karibu na Dr Slaa. Ajabu hii wasemaje wa Dr Slaa ghafla wamekuwa makada na wanachama wa ccm.kulikoni !!??
 
Huyu dr slaa kuna jambo,kwanin hajtokezi,ama na yeye anataka umaarufu,lakini chadema bwan kwisha matusi yote yale kw lowassa kwa sasa amekuwa lulu nimewadharau,mna tamaa hamuwezi kulinda laslimali za nchi nyie chadema na ukawa yenu,hamna maana kwetu watanzania wa kawaida
 
Huu ni wakati wa kuung'oa mfumo uliopo ambao ndio unaokuza ufisadi wa viongozi na kuongeza shida kwa wananchi.

Kila jitihada inahitajika hapa. Kama Dk ana likizo fupi sawa ila kama amesusa kwa hasira za kutokuwa mgombea basi abadilike ajitokeze na aonyeshe ana uchungu wa kutosha na nchi hii, na si kutaka urais tu.

Sijui magazeti ya Raia Tanzania yakoje. Yanajiaibisha sana. Hivi Jenerali amekuwa hivi? Sitaki kuamini, ila macho yanaona.

Mkuu; Raia Tanzania ni gazeti la kila siku ambalo linamilikuwa na timu ya mkoloni mweusi. Gazeti la RAIA MWEMA ni gazeti la kila wiki (Siku ya jumatano) umeelewa?
 
Propaganda kazini!

attachment.php
 
Dr hesabu imegomba, anataka agawane nusu kwa nusu na Mbowe!
 
Asante mungu lowassa tumain letu jipya tupo pamoja naye katika taabu na rahaa zote mpaka ikulu
 
Mambo yapo swari makamanda wenzangu, hayo yote yanayosemwa ya Dr ni uzushi na uongo na hukumu yake ni ktk lile ziwa la moto milele na milele
 
Ina sikitisha sana Dk nena basi maana huku mtaani wewe ndio gumzo, kila kamanda anaulizia ukimya wa $laa kuna nn. Fanya press conference utuambie kuna nn
 
Back
Top Bottom