Richard H. George
Member
- Jul 11, 2015
- 57
- 19
Dr.slaa aongezewe ulinzi la sivyo yatamkuta ya chacha wangwe
Hivi tuna uelewa wa kina kwa kilichompata unayemtaja au ni kwa ajili ya siasa za Tanzania?
Dr.slaa aongezewe ulinzi la sivyo yatamkuta ya chacha wangwe
Aibu kwa chadema kula matapishi huioni?kweli nyie misukule ya mbowe,na mbowe angekua basha.....
Hili jambo kama movie vile ili raia wasiongelee kabisa ishu za CCM na Magufuli...
Raia Tanzania wametumwa.
Jenerali Ulimwengu anajidhalilisha.
Chadema kiko imara kuliko wakati wowote ule ktk historia ya chama
Raia Tanzania na raia mwema la ulimwengu ni sawa?
Chama kikuu cha upinzani Tanzania hakina access na katibu wake mkuu na wala hakionyeshi jitihada za kujua aliko kiko busy na Yule kiliemuita fisadi for years!